Ndugu Harris Kapiga

Ndugu Harris Kapiga

Status
Not open for further replies.
Wenye homoni za Kike ndio
Hutinda nyusi ?
Jambo hili halifai hata kusingiziwa kwa mtumishi wa Mungu.
Unatinda nyusi kwa nia ipi ?
Unataka uwe mrembo ili iweje ?
Kuna tofauti kubwa kati ya kuwa Smart na Kuwa Mrembo.
Hizo sio homoni ni mashambulizi ya Shetani na wewe unayaendekeza.

Either Pray Hard to Refrain From This Evil Spirits,
Or Consult Your Church Immediately.
Jesus Loves You.
 
Kumpokea Kristo ni jambo jingine na kuishi na Kristo ni jingine pia
Mkuu kama unaongelea harusi iliyofanyika Diamond Jubilee ilikuwa poa sana aliendesha vizuri sana, Beef zako na yeye usichangaye na kazi yake. Yule ni Mtanashati safi na kijana amempokea Kristo..
 
huyu mheshimiwa nilianza kumsikia kupitia redio fulani ya dini mwaka jana kama sikosei. Baadae nikamsikia ile redio yenye beef na mbunge. Ana kipindi cha weekend tu. Sijui wiki nzima ndo anakula bata tuu. Hainihusu

Juzi kati nimemkuta akisherehesha harusi fulani. Nilifurahi mwanzoni lakini baadae sikufurahishwa sana na jinsi alivyoiendesha ile shughuli.
Huwa sipendi kuongea sana lakini sikupenda alivyokua amejipigilia make-ups na kutinda nyusi that is one pia sikupenda alivyokuwa anahandle ile sherehe its like it was not that too man enough!! nawasilisha mawazo yangu
improve something brah unless otherwise stated.
He is very well known "BOFLO". Tambua hilo.
Maandishi hayafutiki ni kama roho haifi
 
Kaka kujipenda hadi ukatinda nyusi kama mwanamke mmmmh hapo pana ulakini, sio kila punga hana uwezo wa kuzalisha miaka ya 90's nimefanya kazi kwenye shirika moja la umma kulikuwa na bwana mmoja anafanya kazi na mkewe offisi moja amini usiamini huyo papa alikuwa punga na chakuchelesha alikuwa anatembea na mwamnaume mwenzie wanaefanya kazi wote na mkewe nae akawa anatembea na mtu wa hapohapo kazini.

Kitu walichokifanya ni wale waliokuwa wanatembea na mke na mme wakawa marafiki sasa mmoja wao akiwa na hamu na mpenzi wake wanapanga kila mtuanamchukua wake wanatoka ila yule anaye tembea na mama anakuwa wakwanza kumrelease mama ili asishtukiwe then baada ya saa moja baba nae anaruhusiwa kurudi nyumbani. na hii habari karibu watu wote walikuwa wanajua pale ofisini ila kwao iliwekwa kama siri kubwa sana, huyo mama alizaa watoto 3 na huyo baba ambaye ni mume wa ndoa ya kanisani. hivyo basi usimsemee mwenzio kwani hujui undani wake
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom