Ndugu Harris Kapiga

Ndugu Harris Kapiga

Status
Not open for further replies.
Write your reply... kwa aliepata chuo cha ustawi ngazi ya cheti na anahitaj chumba karibu na chuo cha ustawi wa jamii bamaga
 
HARRIS KAPIGA, sidhani kama ni shoga, ila anazo homons za kike kama walivyo wanaume wengi tu. ni kweli, wapo wanaume wengi sana wamezaliwa na homorn za kike lakini hawainamishwi. kwa upande wangu nimemfahamu kitambo sana tangu alipokuwa joy bringers kwa rwakatale, akaenda praise power radio, na hata siku yeye na mkewe (mkewe nakumbuka alikuwa daktari kama sikosei) walipotangaza uchumba siku hiyo nilikuwepo na hadi ndoa inafungwa nilikuwepo hata mkewe alipopata ujauzito mara ya kwanza nilimwona miaka hiyo nilikuwa nasali kwa rwakatale. ni kweli kwamba anazo homon za kike kwa sura na sauti na hata mapozi, lakini sidhani kama huo ni ushoga.

kitu pekee ambacho nilikuwa nakiona kwake tangu nimfahamu ambacho nafikiri nitamwambia ili ajirekebishe ni kwamba, kama alivyomwambia mkewe siku ile walipotoka honey moon walipokuja kutoa shukran baada ya kufunga ndoa na hata siku walipotangaza uchumba, nakumbuka yule mkewe aliseme "NAMSHUKURU MUNGU NIMEPATA MWANAUME MZURI". so its like, ni kweli hatuwezi kubisha hasa sisi wanaume kama mimi ambao sura zetu sio nzuri na huwa tunajihisi hatuvutii sana kwa sura kwa wanawake (mimi binafsi ni mweusi, mfupi kidogo na nina sura ya ukali kutokana na ugumu wa maisha niliopitia/kufiwa na wazazi na ndugu mara nyingi na frustration/depression nyingi za maisha).

anajijua kuwa wanawake watamsema kuwa yeye ni handsome, na kweli yeye ni handsome. sasa inaonekana kwasababu alishawahi kuambiwa na wanawake kuwa yeye ni handsome basi anaringa sana. kusema kweli harris anaringa sana, hata mapozi yake, sijui labda ndivyo alivyozaliwa, anapoongea anavyochezesha mdomo na kila kitu ni kama mtu aliyeambiwa wewe ni mzuri hivyo anauonyesha uzuri huo kwa watu.

binafsi sidhani kama harris ni punga, ila ninaomba, watu wamemsema sana kuhusu hili, anatakiwa kuwadhihirishia watu kuwa yeye sio punga. ANATAKIWA KUACHA MARA MOJA KUJIREMBA SANA, NIMEONA PICHA ZAKE SEHEMU NYINGI ANATINDA NYUSI, mara nyingi anakuwa sharobaro kupita maelezo.....mwanaume kama una pesa hata usipojikubua au kutinda nyusi wewe bado kidume tu, kwanini anajitinda nyusi? kwanini anajiparua na mapoda kama wadada? hauoni kama unapofanya hivyo ndivyo unavyozidi kuwadhihirishia watu kuwa wanachosema pengine ni cha kweli?hivi utamwomba Mungu akusafishe kwenye jambo hili wakati wewe bado unatinda nyusi, unapiga mascrub hadi poda why can't you change tukuone kwenye sura nyingine....unajisikiaje mzee unapotinda nyusi? hata kama wewe sio shoga lakini unapotinda nyusi kama wanavyofanyaga mashoga etc na wewe ni mlokole unautukanisha ulokole wote, ni sawa na mwanadada anavaa nguo mbaya za uchi halafu anasem mimi sio malaya, sio malaya wakati unavaa vibaya na unataka tukuamini? inawezekana sio malaya lakini kwa nguo zake watu wanaweza kuamini kuwa malaya na wakatukanisha ulokole wote. wewe umekuwa kioo cha jamii miaka mingi hata kwa wakristo chochote unachofanya na unavyoishi jua hauishi kwaajili yako tu unaishi kwa wakristo, ukijichubua unafanya watu waseme walokole kujichubua au kutinda nyusi wanaume ni sahihi wakati walokole halisi wote watapinga wanaume kutinda nyusi kama wewe...kwanini mzee...

sisi sote tuna dhami, mim mwenyewe nina dhambi nyingi pamoja na kwamba nilishawahi kuwa mlokole hapo kwa rwakatale zamani, naamini Mungu atanipokea na kunirejesha nikasali kwani nimemtenda Mungu dhambi sana, nimekuwa mzinzi nimemtenda mke wangu sana nimezaa nje ya ndoa mimi ni mchafu sio kwamba nakunyooshea kidole kwasababu mimi ni malaika hapana, sisi wote tu wenye dhambi, sasa naomba kama wewe sio punga, acha hizo swaga za kutinda nyusi na kujirembaremba halafu mwombe Mungu akusafishe, kama unasingiziwa Mungu atakusafisha, kama hausingiziwi acha mara moja.
Umeandika kwa uchungu sana
 
Kweli kabisa harris ameoa na anawatoto wawili
Kuoa na kuwa na watoto hakuzuii kupigwa bomba... Kuna kiongozi mkubwa tu ana mke na watoto na nimesoma nae na anapigwa bomba mpaka kesho... Na anayempiga bomba ni msela pia alianza kumpindua tangu tunasoma. Soo point yako ya kuwa na mke na watoto haina mashiko... hao wa hivyo tunawaita Sigara Kali unaiwasha popote mbele ama nyuma yenyewe fresh tu.
 
Sawaaa,sikatai ila tabia ni kama ngozi jaman...kama angekuwa shoga si tungeona,huo muda fupi sio wiki moja au mbili na wala sio mwezi...maaana vitu vingine mseme mkiwa mmeshuhudia,kuliko kufanya dhana kwasababu tu ya swagga zake zinaboa..mmeshamshuhudia akigeuzwa mpaka mumuite shoga??? maana shoga hata itokee nyapu ya mdada hapo hashtuki,vipi yeye ana watoto..au ndo kapandikiza???
Hauna elimu ya ushoga... Ushoga una aina Kama tatu
1)Shoga_Basha ..huyu yeye anadinya tu wanaume wenzake hana hata Hamu na wanawake hata akipata anagonga amber rutty tu hana hamu na mitandao ya kijamii kwa hiyo shoga sio lazima kupumuliwa ata mpumuliaji ni shoga pia.
2)Shoga_(chakulabora ama samvu la kopo) ...huyu ndio anadinywa tu kiasi kwamba amepoteza uwezo wa kusamimisha dushe hata akisimama hawezi kuperfom ipasavyo mostly ndio mnawachanganya hawa ndio wale hata watoto na aina ya 3.
3)Shoga_mchicha mwiba(Sigara Kali).. Hawa ni Mashoga wanao dinya na kudinywa. Unawakuta Wanageuzana kwa zamu.. Ama unamkuta jogoo haendi mtungi mpaka apigwe choki/starter kidogo.
Sasa inawezekana huyo mtu wako wa Mungu yupo kundi hili la 3.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom