Ndugu Harris Kapiga

Status
Not open for further replies.
Nyinyi watu wa Bara hizi khabari mmezianza lini ?
Hii michezo yetu watu wa Pwani
Au ndio ule usemi" Mwerevu huwa shidani mjinga akitambua"
Haya kijiti chenu hicho
 
nilijua hizi habari watu wameziibua mwaka huu kumbe tangu 2011???
hali si shwari
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ aiseee
 
doh!! hapo kwenye bold πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
HahaΓ aaaa
 
Mwaka huu ccm mpka nabii tito anachukua fomu,meko kaleta mafuriko ya ajabu chamani
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…