Uchaguzi 2020 Ndugu Herry James afika Meatu kuokoa Jahazi la CCM

Kilimbatz

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
4,331
Reaction score
5,865
Baada ya mgombea urais wa CCM kusema kuwa hatoweza kufika baadhi ya mikoa hapa Tanzania, CCM imemutuma Ndugu Herry James ambaye ni Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Taifa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa kuwa kusawazisha mambo.

Je, ataweza?


Your browser is not able to display this video.
 
Mhe.Herry James mjumbe wa Kamati kuu karibu sana kwetu mwanhuzi, Meatu , tunashukuru kwa utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2015-2020! Tunaomba dondoo za Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020-2025! Mitano kwa makomredi Magufuli, Komanya na Ibupulu! CCM Oyee!
 
ma ccm bila kutumia wasanii yangeaibika sana kwenye mikutano yao...kuanzia kwa Jiwe hadi kwa madiwani.
 
Oyee mkuu karibu hapa viwanja vya stendi tusikilize nondo za James
 
Ameahidi Zile Sindano za Sumu kwa wale watakaoipigia kura ACTwazalendo?
Ahahhah
Amelizungumzia hilo na amelikazia hilo amewataka vijana wa CHADEMA wanapotaka kuja kulinda kura waagane na nyonga
 
Hili lipemba la bukoba litaokoa jahazi gani halina ushawishi zaid ya kulembua sauti ka bwabwa
Karibu mkuu umsikie mgombea udiwani kata ya Mwanhuzi Ndugu Ibupulu
 

Attachments

  • 20201026_165806.mp4
    40.9 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…