Uchaguzi 2020 Ndugu Herry James afika Meatu kuokoa Jahazi la CCM

Uchaguzi 2020 Ndugu Herry James afika Meatu kuokoa Jahazi la CCM

Baada ya mgombea urais wa CCM kusema kuwa hatoweza kufika baadhi ya mikoa hapa Tanzania, CCM imemutuma Ndugu Herry James ambaye ni Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Taifa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa kuwa kusawazisha mambo.

Je, ataweza?

View attachment 1612652View attachment 1612654View attachment 1612655View attachment 1612656
Kichwa cha Habari Naomba kisomeke "Kumwakilisha JPM Meatu", siyo kuokoa jahazi maana liko vizuri tu!
 
Back
Top Bottom