Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,710
- 9,063
Huyu kichaa nasikia ni mtoto wa dadake na Magufuli.......!!!Baada ya mgombea urais wa CCM kusema kuwa hatoweza kufika baadhi ya mikoa hapa Tanzania, CCM imemutuma Ndugu Herry James ambaye ni Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Taifa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa kuwa kusawazisha mambo.
Je, ataweza?
View attachment 1612652View attachment 1612654View attachment 1612655View attachment 1612656
Ameshamtishia Mhe. Tundu Lissu kuwa safari hii watamwua kwa kutumia SINDANO YENYE SUMU!!!