Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,710
- 9,063
Huyu kichaa nasikia ni mtoto wa dadake na Magufuli.......!!!Baada ya mgombea urais wa CCM kusema kuwa hatoweza kufika baadhi ya mikoa hapa Tanzania, CCM imemutuma Ndugu Herry James ambaye ni Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Taifa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa kuwa kusawazisha mambo.
Je, ataweza?
View attachment 1612652View attachment 1612654View attachment 1612655View attachment 1612656
CCM imekufa.Baada ya mgombea urais wa CCM kusema kuwa hatoweza kufika baadhi ya mikoa hapa Tanzania, CCM imemutuma Ndugu Herry James ambaye ni Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Taifa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa kuwa kusawazisha mambo.
Je, ataweza?
View attachment 1612652View attachment 1612654View attachment 1612655View attachment 1612656
Ata nyinyi msingetumia mashoga msingepata watu kabisa.ma ccm bila kutumia wasanii yangeaibika sana kwenye mikutano yao...kuanzia kwa Jiwe hadi kwa madiwani.
Hivi sheria ganiya nchi hii inazuia mwananchi kulinda zake.Ahahhah
Amelizungumzia hilo na amelikazia hilo amewataka vijana wa CHADEMA wanapotaka kuja kulinda kura waagane na nyonga
Na ni Sheria gani inayokataza utangamano sambamba? Je kila mtu anaweza kuwa mlinzi, mwalimu au muuza duka?! Hapana wapo wenye majukumu hayo!Hivi sheria ganiya nchi hii inazuia mwananchi kulinda zake.
Taja kifungu please ili nami nijisomeeNa ni Sheria gani inayokataza utangamano sambamba? Je kila mtu anaweza kuwa mlinzi, mwalimu au muuza duka?! Hapana wapo wenye majukumu hayo!