Ndugu/ jamaa akikwambia amelazwa hospitali nenda kamuone pengine anahitaji Msaada wako sana!

Ndugu/ jamaa akikwambia amelazwa hospitali nenda kamuone pengine anahitaji Msaada wako sana!

Me unisamehe ila naanza kukusema kwanza,

Kwani haukujua kama wewe ni mjamzito..? Obviously sidhani kama ulikuwa hujui.
Na kama hii haikuwa mimba yako ya kwanza, means ushaenda hospitali na ushafundishwa dangerous signs during pregnancy. Hio extreme abdominal pain ulipata kwanini you took it kama ni its a normal sign..?? Tatizo lenu Wa Tanzania mmezidi kuchukulia mambo kwa urahisi urahisi.
Anythings concerning your health should be addressed promptly and with careful measures. Ni bora kuwa safe kuliko kuwa sorry. Na mme wako kabisa anapanda gari to travel na mke wake anaumwa tumbo while pregnant. Bure kabisa huyo.
Na wewe ndo bure zaidi to drive while pregnant. ITS NOT FUCKING SAFE TO DRIVE WHILE YOU ARE PREGNANT.
Kuchukulia mambo kirahisi hapo Umenena kweli mkuu lakini tayari nimeshajifunza,Mimba ilikuwa just seven weeks,Mimi si nikajua yatakua maudhi ya mimba changa,kabisa sikuchukulia serious kiasi hicho!!nikajua hayo maumivu yataisha Tu!!
walahi hata mtoto WA mama mkwe alinilaumu Kwa kumshauri aondoke !!
 
Nje ya maada

Lazima ulijamba bila kujua maana sio Kwa heka heka.. Pole sana me huwa naishi waga nguvu nalegea Balaa jasho.. Kifo duh hakina huruma
 
Back
Top Bottom