Ndugu/ jamaa akikwambia amelazwa hospitali nenda kamuone pengine anahitaji Msaada wako sana!

Kuchukulia mambo kirahisi hapo Umenena kweli mkuu lakini tayari nimeshajifunza,Mimba ilikuwa just seven weeks,Mimi si nikajua yatakua maudhi ya mimba changa,kabisa sikuchukulia serious kiasi hicho!!nikajua hayo maumivu yataisha Tu!!
walahi hata mtoto WA mama mkwe alinilaumu Kwa kumshauri aondoke !!
 
Nje ya maada

Lazima ulijamba bila kujua maana sio Kwa heka heka.. Pole sana me huwa naishi waga nguvu nalegea Balaa jasho.. Kifo duh hakina huruma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…