Ndugu, jamaa na marafiki njooni tumtetee Makonda dhidi ya mapapa wauza unga wanaomzushia

Sio watanzania ni tabia za upande wa watu wako tu!

Mkuu ISIS Sio kweli
Nimejaaliwa kutembelea sehemu nyingi Duniani.Ukimwambia mtu umependeza jibu NI Asante.Ukimsifia mtu Kwa chochote utashukuriwa Kwa kuliona hilo zuri lake.
Hapa Bongo wengi wetu hatutaki kusifiwa Au kuambiwa neno zuri basi lazima tufikiri tunasanifiwa.Mfano Mkuu suti nzuri kweli jibu aaah Hii suti NI rahisi Au si suti si lolote basi tu.
Tukijifunza kusema Asante Na samahani tutakuwa hatuna mapovu kama wengi kwenye huu uzi.
 
Naunga mkono hoja, wenye data hizo au hata yeye mwenyewe aziweke wazi hizi data tu kisha atulie raha mustarehe atuachie tuifanye hii kazi ya kumtetea tukiwa na vithibitisho vya uongo huu anaozingiziwa.
 
Kwa sasa tunahitaji kichwa ( brain) cha makonda..elimu na majina tumuachie muajiri wake..au tutamuuliza akimaliza majukumu mazito ya kujenga nchi..
 

Ndg Paskali, nimekuelewa vizuri. Hoja yako umewasilisha kwa falsafa ya juu sana. Mtu unaweza kudhani unamtetea Makonda, kumbe unataka tuhuma zake za elimu zijulikane. Hongera sana kwa hilo!
 
Kwenye hizi tuhuma za Makonda kuna uongo mwingi kama sio zote. Mfano, tuhuma za kukarabati ofisi yake wakati harakati za kukarabati ofisi zilianza kabla hata Makonda hajashika iko cheo cha mkuu wa mkoa!
usitoe majibu rahisi kwenye maswali maumu
 
PASKALI Vepi umepata burungutu nini? Embu tuache sheria ifuwate mkondo kama alitaja watu bila kuwa na uthibitisho basi ajiandae na yeye kutajwa mbele ya hadhira ili ajuwe kuvunja sheria ni uchungu mkubwa kwa wote. Mbaya zaid ajuwe bado mambo makubwa kumuhusu yeye yatafunuliwa ili ajuwe kunakusitiriana ktk kazi. Ukijuwa hili wenzako wanajuwa lile.
 
Sasa mkuu wetu wa mkoa halisi ni nani? maana hivi vitu vinachanganya walahi
Ni huyu mtangazaji wa radio Tabora anayeitwa Paul au ni huyu Daudi tuliyenae hapa Dar
Mtangazaji wa tabora kapewa pesa na mkonda asitoe ushirikiano kwa yeyote ambaye atamfuata kumuuluza juu ya vyeti vyake kutumiwa na mkonda Daud Albert.
 
Baada ya chaka kuingia akili ekurudi sasa. Safi sana
 
Kuna simulizi humu JF ukipata muda kaisome, inatwa "" baradhui lenye mkono wa chum""
 
Paskali umeanza kunipanda kichwani sasa
 


Mkuu, Umemuelewa vizuri mleta uzi?
Lipi jina lake halali la Mkuu wa Mkoa wa Dar esalaam kati ya haya?
1 Daudi Albert Bashite
2.Paul Christian Makonda.

Then tuambie uhakiki wa vyeti kwa watumishi wa serikali umefanyika/unafanyika kwa haki bila upendeleo?

Pia tuwekee hapa Shule alizosoma huyo Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, kuanzia Shule ya msingi mpaka ya upili(sekondari). Na miaka yake.
 
Gamboshi, kamati za Ufundi toka Gambia, Congo, msumbiji nk wapo tayari Dsm kwa ajili ya kuwapiga ndumba wale wote wanaosema Ukweli juu ya maovu ya Makonda Daud Albert, pasco mayala ingawa marehemu Asikofu mayala alikuachia ulinzi wa kiroho jiandae kuwekewa unga nyumbani kwako au kule kule kwa Mkemia mkuu atapelekwa teja atapimwa kisha matokeo wanayaweka kusubiri upelekwe kisha unabambikiwa kesi kuwa unatumia Unga, kwa mkemia mkuu sasa ni tawi la makonda wanapokea Amri toka kwake mda wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…