PostGE2025 Ndugu Jamaa na Marafiki wafurika Kisutu na Maua kusubiri watuhumiwa wa Uhaini kuachiliwa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Ndugu jamaa na marafiki wamefurika nje ya viunga vya mahakama ya hakimu mkazi kisutu jijini Dar es salaam Tanzania wakiwasubiri ndugu zao wanaokabiliwa na mashitaka ya uhaini kutokana na machafuko yaliyotokea Tanzania siku na baada ya uchaguzi mkuu Oktoba.

Hapo jana watuhumiwa 210 waliachiwa huru baaada ya muendesha mashitaka mkuu wa Tanzania Sylivester Mwakitalu kuieleza mahakama kuwa serikali haikua na nia ya kuendelea na kesi dhidi ya watuhumiwa hao.

Wawaonye tu kuacha kushabikia magenge ya kihuni. Maana wakifariko au wakiwa rumande mahangaiko yanakuwa kwa familia.

Fools never learn until when they reach the university of hard knocks
 
Kwa huu uhovyo wa CCM yenu, kuna rais wapo kwenye kundi hilo na hawakuhusika kabisa
 
Sioni mhaini yoyote hapo, labda wanavyoutaja kuna siku watauona kwa uhalisia wake.
 
Back
Top Bottom