Ndugu Jumanne Kishimba ni mtu wa aina gani haswa? Mbona ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja tofauti na tulivyodhani?

Huyu Mzee pia alikuwa mfadhili wa CUF siku nyingi kabla ya kufanyiwa zengwe la kutaka kufilisiwa na CCM wakati wa Mkapa.

Akatimkia Zimbabwe sasa hivi yuko CCM kwa uoga tu lakini roho yake iko Upinzani.

Pale kahama aliwekwa ili wamuondoe Lembeli.
Hv lembeli Kwan naye n tajiri au n wale wanasiasa wa awali ambao waliupata sababu wapo karibu na Ni lazima kuwa na mtu
 
Yuko vizuri sana huyu jamaa. Mimi pia namkubali sana hoja zake.
 
Huyu Mzee ne free thinker anatufaa sana huku Upinzani.
 
Jimbo la Kahama mjini huyu Mzee anapendwa sana, Upinzani itatubidi tufanye kazi ya ziada ili kulitwaa Jimbo hilo tajiri la mapato.
 
Yeye ndie mwanzilishi wa supermarket kubwa nchini, alimiliki viwanda vya kukamua mafuta ya pamba
 
Basi mzee mjanja kitambo.
Imalaseko ndio supermarket kubwa za kwanza kwanza bongo.
Nilijua ni ya mchaga flani
Mzee alianza kulangua Zahabu na Almasi miaka ya 80 huko wakati Nyerere na Mzee Rukhsa.

Na inasemekana hana mkono wa birika kwa watu wake wanaomjua.
 
Basi mzee mjanja kitambo.
Imalaseko ndio supermarket kubwa za kwanza kwanza bongo.
Nilijua ni ya mchaga flani
Imalaseko iko dar na mwanza pia, na ana appartments nyuma ya ubalozi wa kenya oysterbay $2000 per month zote zimejaa huko zimbabwe ana ma heka na heka ya mashamba kuna ndugu yangu alikua chawa wake muda mref kidogo lakn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…