Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Are you sure mkuu?Mzee wa imalaseko na Dar Free Market, Don kitambo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Are you sure mkuu?Mzee wa imalaseko na Dar Free Market, Don kitambo.
Huyu Mzee pia alikuwa mfadhili wa CUF siku nyingi kabla ya kufanyiwa zengwe la kutaka kufilisiwa na CCM wakati wa Mkapa.Kumbe alisoma gape mapema
Hv lembeli Kwan naye n tajiri au n wale wanasiasa wa awali ambao waliupata sababu wapo karibu na Ni lazima kuwa na mtuHuyu Mzee pia alikuwa mfadhili wa CUF siku nyingi kabla ya kufanyiwa zengwe la kutaka kufilisiwa na CCM wakati wa Mkapa.
Akatimkia Zimbabwe sasa hivi yuko CCM kwa uoga tu lakini roho yake iko Upinzani.
Pale kahama aliwekwa ili wamuondoe Lembeli.
Lembeli hana fedha kama huyu Mzee wa IsageheHv lembeli Kwan naye n tajiri au n wale wanasiasa wa awali ambao waliupata sababu wapo karibu na Ni lazima kuwa na mtu
Lembeli mzee mmoja mbinafsi sanaLembeli hana fedha kama huyu Mzee wa Isagehe
Huyu Mzee pale Buza ana Kijiji kizima anakimiliki.
Aisee tutafuteni pesa aiseeLembeli hana fedha kama huyu Mzee wa Isagehe
Huyu Mzee pale Buza ana Kijiji kizima anakimiliki.
Lembeli roho yake iko Upinzani na haswa CHADEMA yeye na Selelii sijui bado wanasuburi nini huko ccm.Lembeli mzee mmoja mbinafsi sana
Yuko vizuri sana huyu jamaa. Mimi pia namkubali sana hoja zake.Huyu mbunge wa Kahama Kiukweli ndio mbunge anaejua kujenga hoja na kila akiongea anatoa vitu ambavyo vinafikirisha na vinajijenga mpaka unajiuliza vipi wale wataalamu hawakuliona Hilo au hawakuweza kujipa muda wa kulifikiria?
Kwa wale tuliofika mwanza kipindi cha nyuma naamini mpaka sasa ukiwa pale mjini utasikia ghorofa la Kishimba au stendi ya Kishimba huyu ndugu iliaminika kuwa n mfanyabisha mkubwa na n mtu aisejua kusoma na kuandika hzi ndio stori zilizopo huko mtaani lakini mbona anahoja nzito hapo ndio utajua kusoma haikutenganishi na ujinga Bali niwewe mwenyewe ndio unaweza kujitenga na ujinga kwanjia zako mwenyewe unazoziamini.
Kwa stori zilizopo inasemekana alijipatia pesa na Umaarufu ws kibiashara kujua mnamo miaka ya 80's na mwanzon mwa 90's inasemekana alirisk kufanya Biashara ndani ya mipaka ya Rwanda na Burundi ikiwa kwenye Vita Kali ndio hapo alipopata pa kutokea.
Lengo kuu la kuandika hapa Kiukweli huwa ananivutia kumsikiliza na maneno yake ysnafikirisha sana mpaka unajiuliza huwa anakuwa wap akijenga hoja zake moja ya hoja zake alizosema juzi eti "wazazi pamoja na serikali unatumia sio chini ya 40millions kumsomesha daktari na akimaliza aruhusiwi kutoa huduma ya matibabu mpaka awe na kibali wakati hapo hapo.
Kuna ndugu zetu Masai na jamii zingine wanazunguka mitaani au kwenye mabasi wakisema ninakupa dawa inatibu magonjwa kadhaa nahuyu hajasomea na serikali imemruhusu auzie watu dawa wakati huyu daktari aliesomea na serikali kumpa Cheri Cha uhitimu na utabibu afya eti aruhusiwi kutoa matibabu mpaka awe na kibali ambapo kiuhalisia inachukua muda na gharama nyingi" huyu mbunge wa Kahama kweli n akili kubwa.
Kwanini serikali au taasisi za Elimu isitumie kumuomba huyu Kishimba aende akawape darasa wanafunzi waliopo chuo na kuwalisha mentality za kujitegemea wao binafsi baada ya kuhitimu na wasitegemee serikali?
Ni muda Sasa chuo kikuuu cha DAR ES SALAAM kwanini kisimpe udaktari wa heshima kwa kuenzi mchango wake kwa Taifa bungeni Mana huwa akiongea ukimuona anaonekana kajipanga na anaongea kitu kwa kumaanisha yaan yupo makini.
Mimi namuelewa kwa hayo machache he wewe unamuelewa vp au ulishawahi kumsikia kwenye Nini pia napenda nipate upande wa kibiashara jinsi anavyopambana.
Asanteni.
Si aliwahi kugombea ubunge chadema akakosa?Lembeli roho yake iko Upinzani na haswa CHADEMA yeye na Selelii sijui bado wanasuburi nini huko ccm.
As far as i know, i stand to be corrected mkuuAre you sure mkuu?
Basi mzee mjanja kitambo.As far as i know, i stand to be corrected mkuu
SAsa ameyaishiSifa kubwa ya Kishimba ni kwamba si mwanasiasa. Anaongelea mambo yanayohusu jamii kwa jicho la uhalisia.
Mzee alianza kulangua Zahabu na Almasi miaka ya 80 huko wakati Nyerere na Mzee Rukhsa.Basi mzee mjanja kitambo.
Imalaseko ndio supermarket kubwa za kwanza kwanza bongo.
Nilijua ni ya mchaga flani
Imalaseko iko dar na mwanza pia, na ana appartments nyuma ya ubalozi wa kenya oysterbay $2000 per month zote zimejaa huko zimbabwe ana ma heka na heka ya mashamba kuna ndugu yangu alikua chawa wake muda mref kidogo laknBasi mzee mjanja kitambo.
Imalaseko ndio supermarket kubwa za kwanza kwanza bongo.
Nilijua ni ya mchaga flani
VAT leaching mwanzilishi ni Bina au WajaNdie muanzilishi wa kuchakata Zahabu kwa njia maludio leaching, kwa wachimbaji wadogowadogo.
Mzee wa Isagehe huyo.