Ndugu Jumanne Kishimba ni mtu wa aina gani haswa? Mbona ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja tofauti na tulivyodhani?

Ujumbe ufike UDSM na pale bungeni uwakumbushe kitu
 
Jaribu kupitia maandiko na ufanyaji kazi wa FD Roosevelt wa Marekani wakati wa utejelezaji wa New Down Marekani. Utagundua Kishimba anafikiria na kupendekeza kwa mfumi na mtitiriko huo.

Kila tatiza litatuliwe kama lilivyo na kutokana na sehemu na sehemu na mahijaji na uwezo wa wakati huo.

Na ndio maendeleo makubwa tunayo yaona leo, Alitawala vipindi vingi njee ya katiba sababu hakukuwa na haja ya kubadilisha uongozi japo alifia akiwa Rais ofisini .

Kwa mfano : Kama kuna eneo elimu inapatikana bila wanafunzi kumudu kununua uniform ni sawa, na kama maeneo jingine wanao uwezo wa kununa uniforms basi wanunue. Muda unavuo endelea maeneo wasio mudu uniform wakatakuja kununua uniforms na wakiwa tayari walipata elimu.

Mawazo mbadala na fikirishi yaongezeje, watokee wengine wengi waje na mawazo mapya wayauze na yatufikirishe. The free market of ideas.
 
Nyuma ya hizo leseni za utatibu na ni utapeli mkubwa uliojificha kwa jina la leseni,kuna siri kubwa nyuma ya matibabu yote ikiwemo dawa,ukisoma na kutambua hizo siri zao na ukazitoa,wanakufungia leseni yako
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…