Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 7,843
- 10,321
Sema tu mkuu usione mtu anaitwa tajiri ukafikiri lelemamaduuuh ngoja nisiseme sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema tu mkuu usione mtu anaitwa tajiri ukafikiri lelemamaduuuh ngoja nisiseme sana
We nawe toleo jipya Yan Kishimba anafanya mizaa bungeni?Hiyo mizaha anayozua bungeni kwako ndio kujenga hoja?
Ujumbe ufike UDSM na pale bungeni uwakumbushe kituKatika kusahihisha thesis ya PhD, kinacho angaliwa sana ni originality ya utafiti uliofanywa na matokeo yake. Sasa maoni na mchango wa Mheshimiwa Jumanne Kishimba always ni original.
Pia huwa ni kitu kipya, na mimi ananivutia sana. Ila kwa sababu ya akili ndogo (tunazo taka kuonyesha ili tuombee misaada) hakuna anaye chukulia serious na kufanyia kazi michango yake!
Angekuwa China, huyu huyu Kishimba angetumiwa kuendeleza taifa. Lakini Sisi hapa bungeni, ni kucheka tu na inaishia hapo!
We are fools.
Angalau aliwakomesha wahuni hao wamepoteza watu wengi sana wasio na hatiaJiwe yuko wapi sasa? Zecharia yuko Tarime anadunda. Magufuli amekufa na ushamba wake
Walimkomba accountKumbe na huyu dingi alitekwa na kikosi cha jiwe
Jaribu kupitia maandiko na ufanyaji kazi wa FD Roosevelt wa Marekani wakati wa utejelezaji wa New Down Marekani. Utagundua Kishimba anafikiria na kupendekeza kwa mfumi na mtitiriko huo.Kishimba hana jipya tukimfukunyua mbona tutakimbiana , hoja zake ni za vichekesho , kuchangamsha akili na kuwaza vitu mbadala na applicability yake inahtaji upembuzi yakinifu ili viweze kufanya kazi , watu washafikria hzo hoja zake kitambo ila wakachagua mbadala ulio sahihi kulingana na mazingira na taratibu za kijamii , mfano anakuambia kilimo cha bangi kihalalishwe kisa gunia linauzwa bei ndefu au anasema wanafunzi wasinunue daftari jipya kisa ubongo ni ule ule ... Na anakupa sababu fikrishi ambazo ni mwehu tuu anaweza ziruhusu zifanye kazi instantly
😀😀😀Nyuma ya hizo leseni za utatibu na ni utapeli mkubwa uliojificha kwa jina la leseni,kuna siri kubwa nyuma ya matibabu yote ikiwemo dawa,ukisoma na kutambua hizo siri zao na ukazitoa,wanakufungia leseni yako