Ndugu Karugutu (Afisa Elimu msingi Wilaya ya Uyui) jirekebishe, acha kuwatesa walimu kwa kuwafokea badala ya kuwaeleza kwa adabu na utu!

Wanabodi za asubuhi! Leo nakuja na malalamiko ya walimu wa shule za msingi katika Wilaya ya Uyui kumhusu huyu Karugutu.

Wanaanza kwa kueleza kuwa kwenye zoezi la kuboresha daftari la wapiga kura mwaka jana Karugutu aliwalazimisha walimu wa saini hela ya chakula 15,000/= kwa maana ya kifungua kinywa na chakula cha mchana. Walimu hao waliumizwa na kitendo hicho cha kuwapiga hela ya chakula kwenye semina.

Fedha ambayo wangelipwa kwenye semina ilikatwa kwa huduma mbovu ya chakula chenye thamani ya Sh. 4000/= ikafanywa 15000/=. Walimu walilia na kulalamika lakini Karugutu hukusikia.

Tena uliwatisha kuwa watachukuliwa hatua ya kinidhamu wasiposaini. Walimu wamekuwa wakilalamika kwa tabia yako ya kuwakejeli na kuwakemea wakija halmashauri kwa matatizo mbalimbali, umekuwa ukiwatisha na kuwakemea kwa kutaka kuwaandikia barua za kinidhamu wakidai haki zao.

Tatizo kubwa la halmashauri ya Uyui ni rushwa na kubebana hata kutoa vyeo kwa rushwa mbalimbali za fedha na ngono. Ubadhirifu ni mwingi sana hapo wilayani.

Hadi sasa kuna wakuu wa shule wa sekondari wenye elimu ndogo wametoa rushwa ili kuendelea na ukuu huo wakati wengine wakiondolewa kwa ukuu ule ule.

Masijala ya mkurugenzi na elimu za Uyui!, watumishi wake wanaomba rushwa kwa watumishi hasa walimu wanapokuwa na shida mbalimbali hasa kutafutiwa faili zao na kupokea barua za likizo.

Namuomba Seleman Jafo aitazame Uyui (Isikizya hapo ofisini Wilaya ilipo) Aondoe uozo uliopo!!

Watumishi wa umma tena walimu wananyanyaswa sana na watumishi wa Halmashauri hiyo.

Wenye dhamana Chukueni hatua!
Haya malalamiko ai ya kweli wewe chapa kazi na tii sheria bila shuruti.
 
Ficha ujinga wako!!Unafikiri waliokuja kunilalamikia kwenye taasisi yangu ni wajinga???Ngoja fagio la chuma lije hapo ndo utajua kama ni kweli au laa!!!
 
Wanabodi za asubuhi! Leo nakuja na malalamiko ya walimu wa shule za msingi katika Wilaya ya Uyui kumhusu huyu Karugutu.

Wanaanza kwa kueleza kuwa kwenye zoezi la kuboresha daftari la wapiga kura mwaka jana Karugutu aliwalazimisha walimu wa saini hela ya chakula 15,000/= kwa maana ya kifungua kinywa na chakula cha mchana. Walimu hao waliumizwa na kitendo hicho cha kuwapiga hela ya chakula kwenye semina.

Fedha ambayo wangelipwa kwenye semina ilikatwa kwa huduma mbovu ya chakula chenye thamani ya Sh. 4000/= ikafanywa 15000/=. Walimu walilia na kulalamika lakini Karugutu hukusikia.

Tena uliwatisha kuwa watachukuliwa hatua ya kinidhamu wasiposaini. Walimu wamekuwa wakilalamika kwa tabia yako ya kuwakejeli na kuwakemea wakija halmashauri kwa matatizo mbalimbali, umekuwa ukiwatisha na kuwakemea kwa kutaka kuwaandikia barua za kinidhamu wakidai haki zao.

Tatizo kubwa la halmashauri ya Uyui ni rushwa na kubebana hata kutoa vyeo kwa rushwa mbalimbali za fedha na ngono. Ubadhirifu ni mwingi sana hapo wilayani.

Hadi sasa kuna wakuu wa shule wa sekondari wenye elimu ndogo wametoa rushwa ili kuendelea na ukuu huo wakati wengine wakiondolewa kwa ukuu ule ule.

Masijala ya mkurugenzi na elimu za Uyui!, watumishi wake wanaomba rushwa kwa watumishi hasa walimu wanapokuwa na shida mbalimbali hasa kutafutiwa faili zao na kupokea barua za likizo.

Namuomba Seleman Jafo aitazame Uyui (Isikizya hapo ofisini Wilaya ilipo) Aondoe uozo uliopo!!

Watumishi wa umma tena walimu wananyanyaswa sana na watumishi wa Halmashauri hiyo.

Wenye dhamana Chukueni hatua!
Why msimshitaki TAKUKURU?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Why msimshitaki TAKUKURU?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hatuwezi mwaga mchele kwenye kuku wengi kwa sasa!!huu ni mtego kwa maafisa elimu wote msingi na sekondari !!Tunaangalia hatua zao huku tunaendelea kufaili ushahidi wa kutosha!!?Nadhani wamo humu wanasoma na tumesha note kama wawili hv wamesha komenti humu!!
 
Wewe ulieandika kuhusu karugutu hujajitendea haki,namjua vizuri Zuberi Karugutu,ni MTU Wa principle Ana nisimamo mikali.
Kwa wilaya iliyopo nyuma kitaaluma kama uyui inahitaji mtu Wa misimamo na asieyumbishwa.

Walimubkila siku kwenda Ofisibza Elimu ukiwauliza kufanya nini hawaeleweki.

Kama kila mwalimu anataka apeleke shida yake mwenyewe kwa Afisa Elimu shule Nani abaki akiwafundisha wanafunzi?

Kazi ya mwalimu Mkuu iwe nini,kwanini matatizo ya mwalimu yasianzie kwa Mkuu Wa shule halafu kwa Afisa Elimu kata?

Wilaya ya Uyui Kabla ya Karugutu ilikuwa kila mwaka ni ya Saba au nane,ilikuwa inapokezana na Sikonge kushika mkia kielimu.

Lkn kwa sasa haivuki Namba tano kimkoa,ukiondoa Kaliua,Manispaa,Nzega mji na Urambo nafasi inayofuata inakaa Iyui,sasa utapata matokeo kama mwalimu anafundisha siku tatu kwa mwezi na siku zilizobaki ni safari za kufuatilia mapunjo ambayi umeshajibiwa subiri yataingizwa moja kwa moja kwenye account yako.

Karugutu anaweza kuwa na mapungufu mengine lkn huyo jamaa hapendi kuona walimu wakizagaa ofisi za Elimu,akikuona lazima akuhoji unashida gani na vipindi vyako umemuachia Nani.

Ole wako uwe huna Jambo la kueleweka ndio lazima uje Jamii Forums kulalamika.

Lakini kwa ukwwli karugutu kainua sana Elimu kutokana na usimamizi madhubuti.

Tatizo kubwa la Elimu kwenye shule za umma ni usimamizi Wa kiholela,mwalimu anatoroka mwezi bila kuhudhuria kazini lkn mshahara anachukua na mamlaka hazijisumbui kufuatilia,tofauti na shule za binafsi ambako ukitoroka siku mbili unakuta nafasi yako kishapewa mtu mwingine.

Karugutu endelea kuwanyoosha mpaka wajitambue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
uo uozo nmeusikia sn nilishangaa walimu wanakatwa ela yao kwa kuwadanganyishia kula chakula siku iyo,anabahati nilizuiwa na watu nlikuwa namchana kwa mkuu wa mkoa wao sijui tatizo ni nini,mkurugenzi alieondoka yule mama nligusia tatizo la iyo ofisi lkn waliteteana shida ni uyo bwana karugutu hana ethics za kazi kwa anaowasimamia kazi rushwa na akibisha naweza leta ushahidi km anapenda kufanya kazi alipe watu pesa zao. pia ofisi ya utumishi ina shida sijui watu walishaona wamemaliza kila kitu,ofisi zao zipo mbali unamsumbua mtu aje humsikilizi aondoke ashindwe kurudi kituoni kwake kwa wakati alale then tena kesho arudi wakati uzembe ni wa ofisi na sio mwalimu ukiwaeleza inaonekana unawapangia kazi wakati huo mwalimu ametumia gharama zinaenda bule nenda rudi......uyui hapafai...[emoji37]

ninahasira nae kwa sababu uzembe wake umeniathiri moja kwa moja achilia mbali la kuwapunja walimu pesa zao... za usimamizi wa daftari la uhakiki...
HOT
Karugutu anapenda rushwa? Wewe humjui Karugutu na madai yako yatakosa nguvu.

Unaanzaje kujadiliana kuhusu rushwa na Karugutu,unaanzaje?

Karugutu ni Mkuu Wa Idara karibu miaka 10 lkn Hana hata Gari ya kutembelea,hata Gari la ofisi huwa hatumii kama haendi mashuleni,huyo jamaa yupo kizamani sana huwa ni mtu Wa kutembea kwa mguu na Hana muda na starehe kama walivyo wenzake.

Kama ulimshirikisha dili akakufokea unatakiwa kujua kuwa huyo jamaa Hana hizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We Kidyama ficha ujinga wako!Ndio kakutuma uje uandika ujinga wako hapa??Mwambie awarudishie 15000 alizo wasainisha walimu kwenye kuboresha Daftari la mpiga kura kwanza ndio uje uandike Utumbo wako humu jamvini!!!UYUI MMEKAA KI MWINYI HAMJALI WALA KUSIKILIZA SHIDA ZA WATUMISHI KAZI YENU MMEKALIA RUSHWA TU!!!ACHENI UZEMBE FANYENI KAZI!!!Huo umwinyi uliopo hapo lazima muuondoe !Mnawatesa watumishi tena wanatoka mbali hadi hapo mnawajibu nyodo!hamjui cheo ni Dhamana?Acheni Ujinga Mnafikiri hatujui mnayofanya hapo?kwamba hatuoni?Tukutane mahakamani kwa kosa la Ubadhirifu na Rushwa kazini!!!
 
Karugutu anapenda rushwa? Wewe humjui Karugutu na madai yako yatakosa nguvu.

Unaanzaje kujadiliana kuhusu rushwa na Karugutu,unaanzaje?

Karugutu ni Mkuu Wa Idara karibu miaka 10 lkn Hana hata Gari ya kutembelea,hata Gari la ofisi huwa hatumii kama haendi mashuleni,huyo jamaa yupo kizamani sana huwa ni mtu Wa kutembea kwa mguu na Hana muda na starehe kama walivyo wenzake.

Kama ulimshirikisha dili akakufokea unatakiwa kujua kuwa huyo jamaa Hana hizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
hoja zako zipo too general...kutetea ujinga isitoshe mnashirikiana....aje akanushe yy km sio kweli kwenye pesa za walimu kuwakata tuanzie hapo,afu tuje kwenye hoja ya rushwa ya ngono na pesa then tumalizie uzembe wa kutoshughulikia matatizo ya walimu kwa wakati kumbuka nna ushahidi na shida yangu isingetatuliwa kwa kipindi husika nlikuwa napanda ngazi zaidi ingawa nilisota kwa mda flani...nmetokea mkoa mwingine lkn historia ya hapo iko ivyo wanalisishana kiufupi customer care ni sifuri kila ofisi ipo kuomba omba hela au napo niwe specific kutaja kila mmoja hata km ni ela ya soda ni kero kuomba...

HOT
 
Mr perfect big up!!Uyui imejaa taka taka hasa ukabila umezidi!!Waha kibao hapo na wasukuma sana!!Kuna mzee hajui kuandaa practical za physics lakini afisa elim taaluma sekondari kila mwaka anampanga kisa msukuma mwenzake!!Huyo mzee anafelisha kila mwaka physics kwenye shule yake!lakin hata mwaka huu atakuwemo tu!Halafu mimi niliyekuwa fiti nimehamishiwa kishule ambacho ndio kina fom2 mwaka huu!!!Halafu mzee mwenyewe hajasomea Ualimu japo njanga alimchakachua ukuu wa shule akampa Mtovu wa nidhamu aliesababisha vurugu na mgomo Idete sec zamani kidogo Eti sasa ndio mkuu na kidiploma chake huku wengine wakiondolewa kwa elim ndogo yeye kabaki kwa kutoa laki tano alizopewa Afisa elim Taaluma sec wa uyui!!!!FULL UBADHIRIFU!!!
 
THE BREED kweli mkuu wasiteteane yaani, ila wakubali kubadilika na viongozi wafanyie kazi izo kero. Hakuna mtu anaetaka kumuaribia mtu kazi ila kutokuheshimu watu usiowajua ndio matokeo yake hayo....

HOT
 
Wanabodi za asubuhi! Leo nakuja na malalamiko ya walimu wa shule za msingi katika Wilaya ya Uyui kumhusu huyu Karugutu.

Wanaanza kwa kueleza kuwa kwenye zoezi la kuboresha daftari la wapiga kura mwaka jana Karugutu aliwalazimisha walimu wa saini hela ya chakula 15,000/= kwa maana ya kifungua kinywa na chakula cha mchana. Walimu hao waliumizwa na kitendo hicho cha kuwapiga hela ya chakula kwenye semina.

Fedha ambayo wangelipwa kwenye semina ilikatwa kwa huduma mbovu ya chakula chenye thamani ya Sh. 4000/= ikafanywa 15000/=. Walimu walilia na kulalamika lakini Karugutu hukusikia.

Tena uliwatisha kuwa watachukuliwa hatua ya kinidhamu wasiposaini. Walimu wamekuwa wakilalamika kwa tabia yako ya kuwakejeli na kuwakemea wakija halmashauri kwa matatizo mbalimbali, umekuwa ukiwatisha na kuwakemea kwa kutaka kuwaandikia barua za kinidhamu wakidai haki zao.

Tatizo kubwa la halmashauri ya Uyui ni rushwa na kubebana hata kutoa vyeo kwa rushwa mbalimbali za fedha na ngono. Ubadhirifu ni mwingi sana hapo wilayani.

Hadi sasa kuna wakuu wa shule wa sekondari wenye elimu ndogo wametoa rushwa ili kuendelea na ukuu huo wakati wengine wakiondolewa kwa ukuu ule ule.

Masijala ya mkurugenzi na elimu za Uyui!, watumishi wake wanaomba rushwa kwa watumishi hasa walimu wanapokuwa na shida mbalimbali hasa kutafutiwa faili zao na kupokea barua za likizo.

Namuomba Seleman Jafo aitazame Uyui (Isikizya hapo ofisini Wilaya ilipo) Aondoe uozo uliopo!!

Watumishi wa umma tena walimu wananyanyaswa sana na watumishi wa Halmashauri hiyo.

Wenye dhamana Chukueni hatua!
MAFISA ELIMU NI CHANGAMOTO SANA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom