Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya malalamiko ai ya kweli wewe chapa kazi na tii sheria bila shuruti.Wanabodi za asubuhi! Leo nakuja na malalamiko ya walimu wa shule za msingi katika Wilaya ya Uyui kumhusu huyu Karugutu.
Wanaanza kwa kueleza kuwa kwenye zoezi la kuboresha daftari la wapiga kura mwaka jana Karugutu aliwalazimisha walimu wa saini hela ya chakula 15,000/= kwa maana ya kifungua kinywa na chakula cha mchana. Walimu hao waliumizwa na kitendo hicho cha kuwapiga hela ya chakula kwenye semina.
Fedha ambayo wangelipwa kwenye semina ilikatwa kwa huduma mbovu ya chakula chenye thamani ya Sh. 4000/= ikafanywa 15000/=. Walimu walilia na kulalamika lakini Karugutu hukusikia.
Tena uliwatisha kuwa watachukuliwa hatua ya kinidhamu wasiposaini. Walimu wamekuwa wakilalamika kwa tabia yako ya kuwakejeli na kuwakemea wakija halmashauri kwa matatizo mbalimbali, umekuwa ukiwatisha na kuwakemea kwa kutaka kuwaandikia barua za kinidhamu wakidai haki zao.
Tatizo kubwa la halmashauri ya Uyui ni rushwa na kubebana hata kutoa vyeo kwa rushwa mbalimbali za fedha na ngono. Ubadhirifu ni mwingi sana hapo wilayani.
Hadi sasa kuna wakuu wa shule wa sekondari wenye elimu ndogo wametoa rushwa ili kuendelea na ukuu huo wakati wengine wakiondolewa kwa ukuu ule ule.
Masijala ya mkurugenzi na elimu za Uyui!, watumishi wake wanaomba rushwa kwa watumishi hasa walimu wanapokuwa na shida mbalimbali hasa kutafutiwa faili zao na kupokea barua za likizo.
Namuomba Seleman Jafo aitazame Uyui (Isikizya hapo ofisini Wilaya ilipo) Aondoe uozo uliopo!!
Watumishi wa umma tena walimu wananyanyaswa sana na watumishi wa Halmashauri hiyo.
Wenye dhamana Chukueni hatua!
Haya malalamiko ai ya kweli wewe chapa kazi na tii sheria bila shuruti.

Ficha ujinga wako!!Unafikiri waliokuja kunilalamikia kwenye taasisi yangu ni wajinga???Ngoja fagio la chuma lije hapo ndo utajua kama ni kweli au laa!!!Haya malalamiko ai ya kweli wewe chapa kazi na tii sheria bila shuruti.
Why msimshitaki TAKUKURU?Wanabodi za asubuhi! Leo nakuja na malalamiko ya walimu wa shule za msingi katika Wilaya ya Uyui kumhusu huyu Karugutu.
Wanaanza kwa kueleza kuwa kwenye zoezi la kuboresha daftari la wapiga kura mwaka jana Karugutu aliwalazimisha walimu wa saini hela ya chakula 15,000/= kwa maana ya kifungua kinywa na chakula cha mchana. Walimu hao waliumizwa na kitendo hicho cha kuwapiga hela ya chakula kwenye semina.
Fedha ambayo wangelipwa kwenye semina ilikatwa kwa huduma mbovu ya chakula chenye thamani ya Sh. 4000/= ikafanywa 15000/=. Walimu walilia na kulalamika lakini Karugutu hukusikia.
Tena uliwatisha kuwa watachukuliwa hatua ya kinidhamu wasiposaini. Walimu wamekuwa wakilalamika kwa tabia yako ya kuwakejeli na kuwakemea wakija halmashauri kwa matatizo mbalimbali, umekuwa ukiwatisha na kuwakemea kwa kutaka kuwaandikia barua za kinidhamu wakidai haki zao.
Tatizo kubwa la halmashauri ya Uyui ni rushwa na kubebana hata kutoa vyeo kwa rushwa mbalimbali za fedha na ngono. Ubadhirifu ni mwingi sana hapo wilayani.
Hadi sasa kuna wakuu wa shule wa sekondari wenye elimu ndogo wametoa rushwa ili kuendelea na ukuu huo wakati wengine wakiondolewa kwa ukuu ule ule.
Masijala ya mkurugenzi na elimu za Uyui!, watumishi wake wanaomba rushwa kwa watumishi hasa walimu wanapokuwa na shida mbalimbali hasa kutafutiwa faili zao na kupokea barua za likizo.
Namuomba Seleman Jafo aitazame Uyui (Isikizya hapo ofisini Wilaya ilipo) Aondoe uozo uliopo!!
Watumishi wa umma tena walimu wananyanyaswa sana na watumishi wa Halmashauri hiyo.
Wenye dhamana Chukueni hatua!
Hatuwezi mwaga mchele kwenye kuku wengi kwa sasa!!huu ni mtego kwa maafisa elimu wote msingi na sekondari !!Tunaangalia hatua zao huku tunaendelea kufaili ushahidi wa kutosha!!?Nadhani wamo humu wanasoma na tumesha note kama wawili hv wamesha komenti humu!!
Karugutu anapenda rushwa? Wewe humjui Karugutu na madai yako yatakosa nguvu.uo uozo nmeusikia sn nilishangaa walimu wanakatwa ela yao kwa kuwadanganyishia kula chakula siku iyo,anabahati nilizuiwa na watu nlikuwa namchana kwa mkuu wa mkoa wao sijui tatizo ni nini,mkurugenzi alieondoka yule mama nligusia tatizo la iyo ofisi lkn waliteteana shida ni uyo bwana karugutu hana ethics za kazi kwa anaowasimamia kazi rushwa na akibisha naweza leta ushahidi km anapenda kufanya kazi alipe watu pesa zao. pia ofisi ya utumishi ina shida sijui watu walishaona wamemaliza kila kitu,ofisi zao zipo mbali unamsumbua mtu aje humsikilizi aondoke ashindwe kurudi kituoni kwake kwa wakati alale then tena kesho arudi wakati uzembe ni wa ofisi na sio mwalimu ukiwaeleza inaonekana unawapangia kazi wakati huo mwalimu ametumia gharama zinaenda bule nenda rudi......uyui hapafai...[emoji37]
ninahasira nae kwa sababu uzembe wake umeniathiri moja kwa moja achilia mbali la kuwapunja walimu pesa zao... za usimamizi wa daftari la uhakiki...
HOT
hoja zako zipo too general...kutetea ujinga isitoshe mnashirikiana....aje akanushe yy km sio kweli kwenye pesa za walimu kuwakata tuanzie hapo,afu tuje kwenye hoja ya rushwa ya ngono na pesa then tumalizie uzembe wa kutoshughulikia matatizo ya walimu kwa wakati kumbuka nna ushahidi na shida yangu isingetatuliwa kwa kipindi husika nlikuwa napanda ngazi zaidi ingawa nilisota kwa mda flani...nmetokea mkoa mwingine lkn historia ya hapo iko ivyo wanalisishana kiufupi customer care ni sifuri kila ofisi ipo kuomba omba hela au napo niwe specific kutaja kila mmoja hata km ni ela ya soda ni kero kuomba...Karugutu anapenda rushwa? Wewe humjui Karugutu na madai yako yatakosa nguvu.
Unaanzaje kujadiliana kuhusu rushwa na Karugutu,unaanzaje?
Karugutu ni Mkuu Wa Idara karibu miaka 10 lkn Hana hata Gari ya kutembelea,hata Gari la ofisi huwa hatumii kama haendi mashuleni,huyo jamaa yupo kizamani sana huwa ni mtu Wa kutembea kwa mguu na Hana muda na starehe kama walivyo wenzake.
Kama ulimshirikisha dili akakufokea unatakiwa kujua kuwa huyo jamaa Hana hizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
MAFISA ELIMU NI CHANGAMOTO SANAWanabodi za asubuhi! Leo nakuja na malalamiko ya walimu wa shule za msingi katika Wilaya ya Uyui kumhusu huyu Karugutu.