Ndugu Lissu, ukitaka kurejea nchini rejea; usiweke masharti haina maana

Mashart laZima maana waliompiga hawajakamatwa
Alipokujs kwenye uchaguzi wale waliompiga risasi walikuwa hawajakamatwa ?

Au akiwa na ishu zenye maslahi yake anakuja bila masharti,lakini akiona hamna ishu tanzania anaanza masharti ?
 
Wakati anarudi kuja kwenye kampeni waliompiga walikua washakamatwa?
Nyumbu ni Nyumbu tu hata kwenye kujenga hoja utawajua.
Kwamba asiporudi tunakosa hewa ya kuvuta? Hovyo kanisa
Alipokujs kwenye uchaguzi wale waliompiga risasi walikuwa hawajakamatwa ?

Au akiwa na ishu zenye maslahi yake anakuja bila masharti,lakini akiona hamna ishu tanzania anaanza masharti ?
Kuna jambo mnalikosea ninyi. Na Mama hana akili za hovyo kama zenu. Ndiyo maana alifika Nairobi hospital kumjulia hali.

Lissu amewindwa na kutoa taarifa, lakini mpaka anamwagiwa magazine nzima si polisi wala wanasiasa waliokemea. Ameenda kwa RPC kuuliza upelelezi wa kesi na gari yake Muroto anamjibu easy.

Kwenye campaign asingeshambuliwa kwa sababu ilikuwa ni jukumu la serikali kumlinda . Lakini baada ya uchaguzi tu ulinzi uliondolewa , angefanyaJe na hali maadui zake wanakula raha mitaani ?!

Lakini Mungu ni fundi tena mkuu. Waliomtakia mabaya wametangulia . Naye ndo atafuata.
 
Mashart laZima maana waliompiga hawajakamatwa
1.Kwani alipokuja kwenye uchaguzi walikuwa wamekamatwa?
2. Kwani aliporudi na kushiriki uchaguzi uliona tatizo lolote lililomfanya akimbie?
3.Unadhani alikuja kwakuwa alikuwa na fikra kuwa100% angeshinda kiti ?
 
Msaliti alikomeshwa na ugonjwa aliosema umeisha. Nenda Chato ukamlinde.
Endelea kujidanganya.Shujaa aliyesimama nasi nyakati zote za tabu na raha ameumaliza mwendo wake kishujaa akiwa nyumbani bila kukimbia mapambano.Kifo kipo tu kama jinsi wewe na wengjne wote itakavyokuwa!..kama ni kukomeshwa basi na wewe na huyo Lisu mtakomeshwa vile vile! Shujaa hakimbii uwanja wa vita! Shujaa anapambana kujenga uchumi,kujenga miundombinu,kujenga shule na mahospitali na kuinua uchumi mpaka level za kati! Kwa kuwa anajua maadui wa taifa ni umasikini,ujinga na maradhi.Sasa huyo amekimbia vita na anajiita mpambanaji! Pumbavu
 
Maneno ya kina ''low life'' haya. Kama huyo diktekta alijua kifo kipo kwa kila mtu ni kwanini alitaka kumuua Lissu? Nikujulishe kuwa wakati wa kuishi kwa kulamba vidonda kama nzi umeshapita. Lissu muda si mrefu atarudi Tanzania na hutakuwa tena cha kusema kwa sababu mjinga aliyekuwa anaku-support kaondoka na corona.
 
Huyo tapeli katapeli watu huko kapewa kichapo anaanza kusingizia serikali na kutafuta kiki za kisiasa! Watanzania sio wajinga sisi! Asipigwe Mbowe,Zitto Kabwe kina Maalim Seif huko wajuzi wa siasa kuliko hiyo takataka eti serikali ipoteze muda kwake! M*t*ko kweli! na akirudi watammaliza kweli maana hana msaada kwa taifa wala sio mtanzania tena!
 
Ni watu wangapi wamekufa kwa corona wakati mjinga mmoja akisema watu wanakufa kwa ''hofu'' na hakuna corona. Haya ''hofu'' ikajamuandoa na yeye. Wajinga mliobaki mnabaki kuhangaika bila kujua kuwa upumbavu wenu wa kumshangilia kwa mambo ya kijinga aliokuwa anasema na kufanya ndiyo umemfanya afe kabla ya muda wake. Ujinga gani huu.
 
Ni watu wangapi wamepona kwa kuepuka mshtuko na hofu ya corona? Wangapi wameweza kusurvive bila uwepo wa lockdown wakaweza kupata mkate wao wa kila siku? Ni shujaa gani anaweza kufa (hata ingekuwa kwa corona japo sio ukweli) kuokoa mamilioni ya watu ambao wangekufa endapo wangezuiliwa kufanya shughuli zao za kila siku na uchumi kuporomoka hali ambayo ingepelekea kukosekana madawa hospitalini na wagonjwa wengi zaidi kufa? Una akili kweli au umebeba mavi huko kichwani? Unaropoka upuuzi hapa!
 
Foolish. Who talk about lockdown! Mlikakaririshwa na yule ngumbaru aliyekuwa hajui hata maana yake na nyie mkakariri. Ficha ujinga wako.
 
Kwa tafsiri ya usaliti lissu sio msaliti.

Msaliti ni yule ambae anaenda kinyume na makubaliano ama siri mlizojiwekea
 
Kazi ipo.

Bwana lissu anakuja kudai katiba mpya katika Nchi ambayo alisema atarudi endapo atahakikishiwa usalama wake.

Atasubiri kuhakikishiwa usalama kisha ndo aje kudai katiba mpya au ?
 
Kwahiyo mkuu ulitaka apewe ulinzi na serikali maisha yake yote?
Kwanini chama chake kisimpatie walinzi wa kutosha?
 
Kazi ipo.

Bwana lissu anakuja kudai katiba mpya katika Nchi ambayo alisema atarudi endapo atahakikishiwa usalama wake.

Atasubiri kuhakikishiwa usalama kisha ndo aje kudai katiba mpya au ?
Eti Samia atake asetake narudi kwan Samia alimzuia lini kurudi kaona hana wa kumtisha anatishia kurudi #sina iman na Tundulissu always
 
Eti Samia atake asetake narudi kwan Samia alimzuia lini kurudi kaona hana wa kumtisha anatishia kurudi #sina iman na Tundulissu always
Jamaa anazingua sana...

Mara harudi mpaka awekewe ulinzi.
Mara atarudi hata iweje dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…