Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 2,404
- 5,682
Lucas Mwashambwa karibu.
Daaah nchi saivi inaendeshwa kama vikoba vya wanawake
Acha utoto DogoHuyo Luka Msambwanda ni kijana wa hovyooo
Tumkumbushe kidogoNafasi ya kwanza kabisa nikingojea ajibu kwa tafsiri yake pana iliyotukuka
Hovyo kabisa huna hata aibu harafu unakuja kabisa na kupayuka hovyoAcha utoto Dogo
Hujitambui dogoHovyo kabisa huna hata aibu harafu unakuja kabisa na kupayuka hovyo
Nahisi Lucas ndiyo yuda mwnyeweKaeni kwa Kutulia nitakuja na Majibu toshelezi na yenye kumaliza na kukata Kiu yenu