Ndugu mlipa Kodi shuhudia jinsi Magari ya Serikali yanavyoendeshwa kwa vurugu huko huko Barabarani

Ndugu mlipa Kodi shuhudia jinsi Magari ya Serikali yanavyoendeshwa kwa vurugu huko huko Barabarani

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Video hii inaonesha Msafara wa Magari ya Serikali tena ya Kiongozi Mkuu! yakiendeshwa kwa speed kubwa na bila tahadhari ya alama za Barabarani huko Morogoro.
 
Hili ni gari kwenye msafara wa Rais Morogoro. Hii ni LC300 over 500M TSH. Hii miwatu itajifunza lini? Are government personnel above the law? Nani anawawajibisha for reckless driving?





Tujikumbushe bajeti ya magari ya serikali.

WhatsApp Image 2024-08-07 at 10.22.31 AM.jpeg



WhatsApp Image 2024-08-07 at 10.32.36 AM.jpeg
 
Service yake sio mchezo unanuanua hata bajaji 10 🤣🤣🤣
Watu uzalendo hawana

Ni kweli kabisa .
Kodi ya bajaji imepandishwa maara dufu ili zippatikane pesa za kwenda kufuja na za anasa kwa watawala .
Pikipiki ni ajira kwa watoto wa maskini lakini zimeppandishiwa ushuru bei juu kuliko Wanazouza watengenezaji waenyewe huko China .

Waendesha boda boda ndio wa kwanza kusema anaupiga mwingi. Hii nchi itakombolewa na Mungu Mweyewe.
 
Back
Top Bottom