Ndugu mlipa Kodi shuhudia jinsi Magari ya Serikali yanavyoendeshwa kwa vurugu huko huko Barabarani

Ndugu mlipa Kodi shuhudia jinsi Magari ya Serikali yanavyoendeshwa kwa vurugu huko huko Barabarani

Ni kweli kabisa .
Kodi ya bajaji imepandishwa maara dufu ili zippatikane pesa za kwenda kufuja na za anasa kwa watawala .
Pikipiki ni ajira kwa watoto wa maskini lakini zimeppandishiwa ushuru bei juu kuliko Wanazouza watengenezaji waenyewe huko China .

Waendesha boda boda ndio wa kwanza kusema anaupiga mwingi. Hii nchi itakombolewa na Mungu Mweyewe.
 

Attachments

  • 5781825-51775523b226d8414338068b2d50cfec.mp4
    3 MB
Hawana uchungu nayo kabisa.

Barabara zenyewe mashino, halafu speed ya nini?
Alafu hapo ni mjini kabisa, naona ni barabra ya kuelekea mkoani. Wanapokwenda wameshafika kabisa.
 
Back
Top Bottom