Ndugu mlipa Kodi shuhudia jinsi Magari ya Serikali yanavyoendeshwa kwa vurugu huko huko Barabarani

Itabidi tugombee mkuu
Tutumie akili wao Wagombee hela wawe wanaziweka kwetu sisi tunazifanyia kazi. We tulia Mwanangu wakati wetu wa kuzitafuna hela zao upo karibu
 
Lakini,kitu kimoja unachotakiwa kukumbuka,hizo gari ni tofauti kabisa na ulizozizoea mtaani.
Pili,hao madereva,si wale uwaonao mtaani.
Sijasema waendeshe wanavyojisikia,maana hata msipolalamika,hela ya service itatoka. Japo ni hizo barabara choka mbaya,kingine,zingatieni hizo gari ni kubwa.
Kikubwa tu usije ukaiga
 
Haya ndo mambo yalomponza Paulo na msafara wake kuelekea kusini mwa Gaza katika uenezi wa waraka .



Sina mwanasheria Wala Hela ya kula.sitaki KUONGEZA matatizo🖐️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…