Ndugu Mtanzania unalijua kundi lako la damu?

O+
 
Wadau Kuna Artical nimesoma wanasifi Asana Group AB+.
Hivyo Naomba kujua Ni kwanini Group AB+ inasemekana ni Group Zuri zaidi kuliko Group O+ au O-
Ni kitu gan hufanya group AB+ kuwa Zuri zaidi kuliko Magrup Mengine ya Damu.

Pia Kuna kitu kinaitwa Rhesus factor Kuna Damu hazina hii kitu na nyingine zinazo naomba menye Uelewa na hii kitu atujuze[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] pls
 
Nashukuru kwamba mimi na mpenzi wangu tunajua makundi yetu za damu, na jana tu ndiyo tulijadili hili suala na umuhimu wake.

Kwa watu mnaokuwa pamoja muda mrefu ni vizuri mkawa mnajuana makundi ya damu. Mimi kundi langu la damu ni A+ na mpenzi wangu kundi lake ni O+.

Ova
 
Watu wa group O+na - ,tunampa yyt damu ila sie hatupokei Kwa yyt unless ana group km Hilo!

Faida mojawapo hatuambukizwi pia magonjwa kirahisi
O negative ndo ambaye hapokei kundi lolote la damu zaidi ya o negative mwenzako ila O posituve anapokea
 
O negative unalijua mzee au umeandika tu..

Hili kundi ni hatari sana na risk kubwa .

Maana unauwezo wa kutoa damu kwenda kwa O negative mwenzako .

Na unapokea damu kutoka kwa O negative tu.
Kwamba hiyo ndio inafanya nisiwe O- ama?
 
Ngoma lazima upimwe mzee ndipo mengine yaendelee
 
Ni muhimu kujua ila sio wote wanaojua au wanaotaka kujua ukienda na mwanamke kliniki mwanzoni pale watawapima groups za damu zenu na watawaambia hii husaidia kujua pale changamoto inapotokea je damu zenu zilikuwa zinaweza kuendana mimba ikatungwa kwa uelewa wangu hiyo ni moja ya faida zake
 
Ngoma lazima, unataka umpe mgonjwa wadudu we vipi?? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Niliwamind walinipima HIV bila kuniambia!!
Walivyoona niko okay ndo wakanichukua damu, wangesema kabla ningekula njoro mbona 🀣🀣🀣
wazinzi utawajua tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…