Ndugu Mtanzania unalijua kundi lako la damu?

Ndugu Mtanzania unalijua kundi lako la damu?

Bila kujali kuna mtu unamfahamu au sio tengenezeni taratibu za kuchangia damu na utakuwa mwanachama.

Leo kwangu kesho kwako.
 
Yupo Jiran yangu hapa Ana O+ but Anatumia ARV na huwez mjua maana Makalio yamebinuka hataree nawaonea huruma vijana sana wnakchakata Mbususu yake.

Kwahiyo kuwa na O+ siyo Kigezo cha kutokupata Maradhi mbalimbali ikiwemo kuambukizwa HIV lead to AIDS...
Mimi nilijua sisi wenye O hatupatagi hii makitu, manake mimi nilishawahi kupita mazingira hatari kabisa, lakini baadae kuja kupimwa nikakutwa niko fiti kalikiti.
 
Mimi nilijua sisi wenye O hatupatagi hii makitu, manake mimi nilishawahi kupita mazingira hatari kabisa, lakini baadae kuja kupimwa nikakutwa niko fiti kalikiti.
Kapime tena huenda doctor alikuwa kalewa.
 
Kweli ni njaa tu ndo siielewi, sijawahi kulazwa toka nimezaliwa.
Sema me ni mtundu nishavunjika mkono, kudundana kwangu kawaida.
Ugomvi shuleni haunogi, unaweza hata kuahirishwa km Lamomy sipo siku hiyo 😂😂😂😂
Ss hivi nimeacha baba angu hadi ananishangaa mana nishachezea suspension za kutosha, nishapeleka wazazi fake km wote skonga. Nisiongee sana watanijua bure
We usitudanganye tujichanganye kukuamini, simba akilowa hawi paka 😂😂😂
 
Back
Top Bottom