Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenzio nilijua baada ya kumkuta mzee mmoja na mke wake hospital peke yao hawana mtu wa kumtolea damu na hospital damu wameishiwa.Hebu kesho nikapime nijithibitishie kweli nipo huko kwenu..
Ila nina dalili zote za kuwa group hilo..😂🤣
kama mimiKm Mimi
We unaweza mpa damu mtu yyt
Lkn huwezi pokea Kwa yyt mpk awe na group km lako
🤣🤣🤣 Sema hatuna bayaha ha ha unajua kabisa kuwa akili yako ni mbovu sio
AB+ au AB-🤣🤣🤣🤣🪑Mimi ni AB
🤣🤣 Wanapima ngoma kwani wana mpango wa kuanzisha bendi, ungewakataa tu, mnataka damu chukueni, maswala ya kupimana ngoma msilete.. au pimeni, majibu kaeni nayo wenyewe. Mie nishawafanyia uislam.😂🤣Mwenzio nilijua baada ya kumkuta mzee mmoja na mke wake hospital peke yao hawana mtu wa kumtolea damu na hospital damu wameishiwa.
Huruma ikaniingia walivyosema yupo group O na mpk apatikane O mwenzake na mke wake A
Nikamwambia Dr niangalie km O namchangia, ndio kupima kitu kikakubali. Basi nikamchangia yule mzee mpk leo nimekuwa km mtoto wao.
Niliogopa walivyosema tunakupima na ngoma 🤣🤣🤣🤣
Hata nikinywa WANZUKI.. 😂Kundi lako la damu halibadiliki hata unywe konyagi kiasi gani!! 😂😂
Ngoma lazima, unataka umpe mgonjwa wadudu we vipi?? 😂😂😂😂🤣🤣 Wanapima ngoma kwani wana mpango wa kuanzisha bendi, ungewakataa tu, mnataka damu chukueni, maswala ya kupimana ngoma msilete.. au pimeni, majibu kaeni nayo wenyewe. Mie nishawafanyia uislam.😂🤣
Tufanye mpango tuwe tunachangia changia mara kwa mara masikia sisi ni katika yale magroup adimu kidogo.
Akitaka achukue, hataki aache kwani ye si ndio ana shida ya damu..Ngoma lazima, unataka umpe mgonjwa wadudu we vipi?? 😂😂😂😂
Niliwamind walinipima HIV bila kuniambia!!
Walivyoona niko okay ndo wakanichukua damu, wangesema kabla ningekula njoro mbona 🤣🤣🤣
Halafu sisi wenye groups adimu itabidi tukae chini tutafute ufumbuzi wa hili suala.Ngoma lazima, unataka umpe mgonjwa wadudu we vipi?? 😂😂😂😂
Niliwamind walinipima HIV bila kuniambia!!
Walivyoona niko okay ndo wakanichukua damu, wangesema kabla ningekula njoro mbona 🤣🤣🤣
We makavali unataka mgonjwa awekewe damu chafu yenye wadudu?😂😂😂Akitaka achukue, hataki aache kwani ye si ndio ana shida ya damu..
😂😂
Sasa damu yangu atake ila vidudu ndio avigomee, basi aniache na damu yangu.😂We makavali unataka mgonjwa awekewe damu chafu yenye wadudu?😂😂😂
🤣🤣🤣🤣 Mwehu we!!Halafu sisi wenye groups adimu itabidi tukae chini tutafute ufumbuzi wa hili suala.
Ni vema tukawa tunakutana na kuBAIOLOJIANA ili tuzae watoto wa goup hili, waongezeke kutatua shida ya uadimu wa group hilo.🙈🙈
🤣😂
🤣🤣🤣🤣 makaveli unavuta bangi ya wapi?Sasa damu yangu atake ila vidudu ndio avigomee, basi aniache na damu yangu.😂
Aliyotumia bob marley na tupac ndio natumia na mimi.. sivuti ya konde boy mimi😂🤣🤣🤣🤣 makaveli unavuta bangi ya wapi?
Emu na mie nisogezee hiyo yako utakuwa unaitoa moja kwa moja kutoka Jamaica