Ndugu Mtanzania unalijua kundi lako la damu?

Ndugu Mtanzania unalijua kundi lako la damu?

🀣🀣🀣🀣 Mwehu we!!
Vichaa watakuwa wengi
Hakuna tuta KAUNTABALANSI vizuri zaidi,
Lazima tuBAIOLOJIANE sisi kwa sisi, group O liwe na watu wengi zaidi.πŸ˜‚
 
Nilichangia damu nikapimwa na vitu vingine ikiwemo blood group, kwenye majibu nikaambiwa nina A+
 
miss uuuuu beib😘😘😘
Miss u more 😍😍😍
Wamekuficha wapi? Au ndio upo Dub’s πŸ˜‚πŸ˜‚

Pesa zangu vipi sasa? Mama mchungaji nimechacha, nifanyie mpango hata wa nusu hasara basi.
Kweli mmeamua kunipotezea mwanakondoo wenu wewe na Kantri??
 
Back
Top Bottom