Dr. Zaganza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 1,414
- 2,181
😂😂😂😂🙌🙌🙌Apo kwenye investment kwenye uzinzi umeingilia privacy za watu ila uko kwingine tupo pamoja kiongozi
una akili sana wewe! utaenda mbinguni.. lazima- Mtangulize alokuumba ,muombe sana akuongoze. Wafate manabii wa kale alowatuma namna ya kuabudu
-
Dunia haina huruma juu yako.
Kibano ni kikali sana.
Kila siku hakikisha:
- Wekeza kwako
-Jitafute
- Jipiganie
- Fanya zaidi
- Show up daily
- Kuwa na consistency na flow
- Usikubali kushindwa kiboya
- Hasira zihamishie kwenye mishe zako
- Acha investment kwenye uzinzi
- Kuwa karibu na wanaokupush zaidi
- Ishi kusudi na daima fata malengo yako
KUTOBOA KUPO TU 🫡
Tatizo sio kutoboa tatizo ni kubaki kwenye chati baada ya kutoboa!!- Mtangulize alokuumba ,muombe sana akuongoze. Wafate manabii wa kale alowatuma namna ya kuabudu
-
Dunia haina huruma juu yako.
Kibano ni kikali sana.
Kila siku hakikisha:
- Wekeza kwako
-Jitafute
- Jipiganie
- Fanya zaidi
- Show up daily
- Kuwa na consistency na flow
- Usikubali kushindwa kiboya
- Hasira zihamishie kwenye mishe zako
- Acha investment kwenye uzinzi
- Kuwa karibu na wanaokupush zaidi
- Ishi kusudi na daima fata malengo yako
KUTOBOA KUPO TU 🫡
Ulikuja kuoa na miaka mingapi.? Na kwa nini unajuta .?Yote yako sawa. Badala ya kuinvest kwenye uzinzi invest kwenye ndoa. Jambo ninalojuta ni kuchelewa kuoa. Nilipanga kuoa nikiwa 22 sikufanikiwa.
[emoji16][emoji16][emoji16]Apo kwenye investment kwenye uzinzi umeingilia privacy za watu ila uko kwingine tupo pamoja kiongozi
🤣🤣🤣jamanii tenaaaWasipokusikia wauawe wote
Hayo niyakufikiria ukisha toboa kwa sasa fikra ziko kwenye kutoboa kwenyewe ila naamini ukipita njia za halali basi huna haja kuhofia chochoteTatizo sio kutoboa tatizo ni kubaki kwenye chati baada ya kutoboa!!
😂😂😂ndo ivo🤣🤣🤣jamanii tenaaa
Halafu nani atakusugua?Wasipokusikia wauawe wote
😂😂mie mwenyeweHalafu nani atakusugua?