Ndugu Mwanaume

Ndugu Mwanaume

NJia Halali ni neno Pana sana!!yaani unalipa kodi Bila kufuatwa na TRA yaani unajipeleka mwenyewe huku ukifuata muongozo wa Bei Halali ya kuuzia Bidhaa kwa mteja bila kuchakachua!!!

Neno Pana sana mkuu!!
Hayo niyakufikiria ukisha toboa kwa sasa fikra ziko kwenye kutoboa kwenyewe ila naamini ukipita njia za halali basi huna haja kuhofia chochote
 
Back
Top Bottom