Ndugu Mwigulu, kama makusanyo ya Bandari anakusanya DP World, tutakwepaje bankruptcy?

Ndugu Mwigulu, kama makusanyo ya Bandari anakusanya DP World, tutakwepaje bankruptcy?

Salaam, shalom!!

Ikiwa lango la Nchi, lililo na makusanyo makubwa kuliko yote, tumemkabidhi mgeni atukadirie mapato baada ya Kutoa gharama zake za uendesgaji na ukusanyaji tutakwepaje kuwa bankrupt?

Tuliambiwa kwamba, akiingia DP World, atasaidia kufadhili budget ya nchi yetu zaidi ya 50%

Wananchi Bado tunasubiri hiyo neema Toka Kwa mwekezaji mwarabu wa DP World.

NB: Njia ya mwongo ni fupi!!

Karibuni mnisaidie kupata majibu ya swali hapo juu[emoji120]

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA [emoji1241]

Amen
Kwa vyovyote Mapato yataongezeka sanaaa!

Toa nafasi!

Robo ya kwanza mpk ya tatu ya Mwaka huu wa pesa utaanza kujua maana ya DP World!

Hilo liko wazi na tutaona!
 
Ule ulikuwa uongo na siasa zetu ni uongo. Watu wa bandari watueleze DP world kaleta winchi kama RTG hata moja hakuna anatumia vifaa vilevile vya TPA.

Ipo shida kwenye kupata watu wasio na elimu, uwezo wa kufikiri unaoendana na kasi ya dunia, uzalendo ule kama wa nyerere wa kusubiri kuchimba mafini.mpaka wananchi wapate elimu kubwa sasa tumeshafakamia graphite, lithium etc. Kwenye maamuzi
 
Kwa vyovyote Mapato yataongezeka sanaaa!

Toa nafasi!

Robo ya kwanza mpk ya tatu ya Mwaka huu wa pesa utaanza kujua maana ya DP World!

Hilo liko wazi na tutaona!
Sasa kwanini kuingia tu, Bei imeongezeka mara mbili?

Mfumuko wa Bei utakaotokana na gharama za bandari kuongezeka ni hatari kubwa,

Tusubiri miezi michache ijyo.

Kiukweli Samia apumzike 2025, wajukuu wake nyumbani wanamhitaji sana kuliko sisi Watanzania.
 
Salaam, shalom!!

Ikiwa lango la Nchi, lililo na makusanyo makubwa kuliko yote, tumemkabidhi mgeni atukadirie mapato baada ya Kutoa gharama zake za uendesgaji na ukusanyaji tutakwepaje kuwa bankrupt?

Tuliambiwa kwamba, akiingia DP World, atasaidia kufadhili budget ya nchi yetu zaidi ya 50%

Wananchi Bado tunasubiri hiyo neema Toka Kwa mwekezaji mwarabu wa DP World.

NB: Njia ya mwongo ni fupi!!

Karibuni mnisaidie kupata majibu ya swali hapo juu🙏

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

Amen
USISHANGAE TUKAENDA NA KUMKOPEA KABISA
 
USISHANGAE TUKAENDA NA KUMKOPEA KABISA
Tulishamkopea Kwa kujenga na kupanua bandari.

Sasa tunamlipia mkopo, Yeye anakusanya mapato.

Haya wanayotufanyia viongozi wetu, watatuachia mgogoro mkubwa sana mbeleni.
 
Back
Top Bottom