Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Nchi ina maajabu sana hii nilikuwa napitia report ya mabadiliko ya kodi zilizopendekezwa na Wizara ya Fedha,wanasema VAT kwa Tz ni 18% huku kwa nchi za EA na SADC nyingi ni 16.Ingawa makusanyo ya VAT ni kidogo kuliko nchi zote za EA na SADC.
Hii nchi hata uje na vyanzo elf 1000 vya mapato,bado makusanyo yatakuwa chini tu.hii nchi kodi zinaishia mifukoni mwa watu,RUSHWA RUSHWA RUSHWA.
Maafisa wa TRA wanapokea ni rushwa tu,Wafanyabiashara nao kutwa ni kutoa rushwa ili wasitoe kodi stahiki.yani katika kila shs 100 inayokusanywa ni shs 40 ndio inafika kwenye mfuko mkuu wa Serikali na katika Shs 100 inayotakiwa kukusanywa ni shs 30 tu inayokusanywa-kwa namna hiyo utaendelea vipi??
Usimamizi wa sheria ndio tatizo,Simamia sheria itokee Waziri au Rais ashitakiwe kwa rushwa afikishwe Mahakamani afungwe jela uone kama kuna mtu atakwepa kodi.