Ndugu Mwigulu, VAT ikishushwa Kwa 2%, Serikali haitapata HASARA ya bil 600 Bali itaongeza idadi ya walipa kodi!!!

Ndugu Mwigulu, VAT ikishushwa Kwa 2%, Serikali haitapata HASARA ya bil 600 Bali itaongeza idadi ya walipa kodi!!!

Maderu na PhD yake ya mchongo kila akilala akiamka anakuja na mawazo ya kuongeza kodi sehemu akili yake imegota kwenye kuongeza kodi tuu hamna kingine Kila siku watu wanapiga mabilioni lakini hakuna yoyote anafungwa hata wiki moja wana bahati sana watanganyika tuna nidhamu ya woga
 
Shida ya watanzania ndio ipo hapo hatuna uwezo kutunga sera zetu tumezoa kucopy copy tu
Tanzania sio kisiwa Mkuu na mfumo wa kodi unaelekeana au kufanana kwa nchi zinazofanana kwa sababu ya sababu mbalimbali ikiwemo regional integrations nk.

Ndiyo maana serikali nyingi za upinzani Afrika hazifanyi vizuri Baada ya kupewa madaraka kwani huahidi vitu ambavyo haviwezekani.
 
Back
Top Bottom