Ndugu Mwigulu, VAT ikishushwa Kwa 2%, Serikali haitapata HASARA ya bil 600 Bali itaongeza idadi ya walipa kodi!!!

Nchi ina maajabu sana hii nilikuwa napitia report ya mabadiliko ya kodi zilizopendekezwa na Wizara ya Fedha,wanasema VAT kwa Tz ni 18% huku kwa nchi za EA na SADC nyingi ni 16.Ingawa makusanyo ya VAT ni kidogo kuliko nchi zote za EA na SADC.

Hii nchi hata uje na vyanzo elf 1000 vya mapato,bado makusanyo yatakuwa chini tu.hii nchi kodi zinaishia mifukoni mwa watu,RUSHWA RUSHWA RUSHWA.
Maafisa wa TRA wanapokea ni rushwa tu,Wafanyabiashara nao kutwa ni kutoa rushwa ili wasitoe kodi stahiki.yani katika kila shs 100 inayokusanywa ni shs 40 ndio inafika kwenye mfuko mkuu wa Serikali na katika Shs 100 inayotakiwa kukusanywa ni shs 30 tu inayokusanywa-kwa namna hiyo utaendelea vipi??

Usimamizi wa sheria ndio tatizo,Simamia sheria itokee Waziri au Rais ashitakiwe kwa rushwa afikishwe Mahakamani afungwe jela uone kama kuna mtu atakwepa kodi.
 
Ubunge wa viti maalumu nao unapaswa kufutwa.
 
B6 ni parefu vipengele vingi vitaishia njiani, sema nae mama haeleweki watu wanalipa kodi yeye ni v8 tu
 
Rabbon sawa ww unadhani serikali yetu ambayo haina miradi itatoa wapi pesa, kama mpaka sasa kuna baadhi ya sekta zinaendeshwa kwa hasara??
 
Rabbon sawa ww unadhani serikali yetu ambayo haina miradi itatoa wapi pesa, kama mpaka sasa kuna baadhi ya sekta zinaendeshwa kwa hasara??
Wasikudanganye kuwa Serikali Haina pesa Si Kweli,

Kuna UKWEPAJI mkubwa na uhujumu mkubwa wa mapato ya Serikali,

Nenda kakague Mali wanazomiliki wafanyakazi wa TRA na bandarini utajua nisemacho.

Hapo samora, mtumishi wa TRA asiye na ghorofa ni WA kutafuta Kwa tochi, labda awe ndio anaingia Leo kazini.

Nenda uhamiaji mipakani utaona, nk nk nk.

RUSHWA na wizi ndivyo vimetoboa mifuko ya Serikali inavuja, haijai.

Tukiziba mianya ya upotevu wa mapato, tukapunguza matumizi ya Serikali,

Nchi Ina pesa mingi sana.
 
Dona kantree
 
Dona kantree
Kitu unatakiwa kushangaza ni,

Viongozi wanadai Serikali Haina pesa, kwanini sasa wasijiuzulu Ili kuhakikisha wanapatikana wengine watakapokuja na Mbinu kuhakikisha nchi inapata mapato Kwa njia Bora zaidi.
 
Hamna mtu anataka kuaacha vieteee na wanasikia kuna zingine zina kuja mpya V8 VX hawatoki
 
Hamna mtu anataka kuaacha vieteee na wanasikia kuna zingine zina kuja mpya V8 VX hawatoki
Kuna mtumishi wa TRA alikuwa na nyumba 400 dar peke yake.

Halafu unaambiwa Serikali Haina pesa, ujue Kuna Mahali zinaenda.
 
Ila hii nchi
Kwahy hy kodi 2% italeta hasara ila wanavyopiga pesa huko inaongeza mapato?
 
Ila hii nchi
Kwahy hy kodi 2% italeta hasara ila wanavyopiga pesa huko inaongeza mapato?
Matumizi ya Serikali Yale mabovu na mianya ya RUSHWA ikizibwa,

MAPATO yetu, yatatosha kufadhili budget ya nchi bila kukopa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…