Maderu na PhD yake ya mchongo kila akilala akiamka anakuja na mawazo ya kuongeza kodi sehemu akili yake imegota kwenye kuongeza kodi tuu hamna kingine Kila siku watu wanapiga mabilioni lakini hakuna yoyote anafungwa hata wiki moja wana bahati sana watanganyika tuna nidhamu ya woga