Ndugu Mwigulu wasanii wafanye kazi na 98% ya waliomchagua Samia

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,718
Reaction score
58,893
Ndugu Mwigulu

Samia alipata kura million 32

Ndugu Mwigulu wasanii watumie akili yao yote maarifa yao yote nguvu zao zote kufanya kazi.

Kama waliunga mkono CCM na CCM inaungwa mkono na watu 32milon

Mining'ono yanini? Kuna shida gani ?

Ndugu Mwigulu Mchezaji anayecheza Manchester United analipwa na Manchester united

Walipwe na CCM maana CCM ndio inayowatumia.

Wananchi kazeni hivyo hivyo mpaka tuone nyeti za bi msumi akija kuwatetea.

Na bado!! Kila mtu ale alikopeleka mboga, kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.
 
Ukiona CHAMA kikubwa kinajadili mambo madogo ujue Sana ujue hakuna Ajenda Mpya tena iliyobaki.
 
Mtajuana na wasanii wenu huko huko.
 
Ukiona CHAMA kikubwa kinajadili mambo madogo ujue Sana ujue hakuna Ajenda Mpya tena iliyobaki.
Screenshot_20251212-173144~2.png
 
Back
Top Bottom