technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Ndugu Mwigulu
Samia alipata kura million 32
Ndugu Mwigulu wasanii watumie akili yao yote maarifa yao yote nguvu zao zote kufanya kazi.
Kama waliunga mkono CCM na CCM inaungwa mkono na watu 32milon
Mining'ono yanini? Kuna shida gani ?
Ndugu Mwigulu Mchezaji anayecheza Manchester United analipwa na Manchester united
Walipwe na CCM maana CCM ndio inayowatumia.
Wananchi kazeni hivyo hivyo mpaka tuone nyeti za bi msumi akija kuwatetea.
Na bado!! Kila mtu ale alikopeleka mboga, kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.
Mtajuana na wasanii wenu huko huko.Ndugu Mwigulu

Ukiona CHAMA kikubwa kinajadili mambo madogo ujue Sana ujue hakuna Ajenda Mpya tena iliyobaki.
Chama gani hicho kikubwa unachosema na Ajenda hii ya wasanii imejadiliwa kwenye kikao gani cha chama hicho?Ukiona CHAMA kikubwa kinajadili mambo madogo ujue Sana ujue hakuna Ajenda Mpya tena iliyobaki.
Kama nimemwelewa vizuri HAYA LAND HOV , anamzungumzia, waziri mkuu wa chama kilichoshika madaraka ccm kuja na agenda dhaifu.Chama gani hicho kikubwa unachosema na Ajenda hii ya wasanii imejadiliwa kwenye kikao gani cha chama hicho?
Hapo sawa!!Kama nimemwelewa vizuri HAYA LAND HOV , anamzungumzia, waziri mkuu wa chama kilichoshika madaraka ccm kuja na agenda dhaifu.
Jamaa Kuna muda ni yes Kuna muda ni no haeleweki kama mvua za dar es salaam huyoHapo sawa!!