Ndugu naomba ushauri akili imestack

Ktk maisha yako zingatia vitu ambavyo ukivipoyeza havirudi tena , cha kwanza wazazi cha pili watato,
Kitu cha 3 ni ndugu zako kaka dada nk, hivi vingine vikikusumbua vipunguze,

Achanana huyo taka taka chukua watoto maisha yaende,
Unakaa na mwamke anaecheza kamali??

Umeanza kunywa pombe kisa mwanamke , fukuza kunguru
 
Kweli kabisa mwanaume na mji wako, mwenye maamuzi kamili unakubali kwenda kuamuliwa kesi yako na mke wako ukweni!!!!!!!!!!!😎😎😎😎

Acha mara moja kuhudhuria hicho kikao. Kama wanataka kikao cha wazazi nendeni kwa wazazi wako.

Lakini mpaka hapo.
1. Unalo jibu lakini hautaki tu kichukua hatua
2. Ngoja watoto wakue ukiwa na huyo mke utajuta kumfahamu.
3. Jifunze kufanya maamuzi, kweli yaweza kuwa haujui kusoma, lakini je hata picha kuitafsiri?
KESI HUKO KWAO
Ninahitaji kwenda KWAO nikajieleze na kuomba msamah kuwa nimemfukuza pamoja na watot,,,kumbuk watot wanatakiwa kwenda shule kesho
 
Br
Bro samahani kam nitakukosea...utakuja kuzeeka vibaya sana na huo mda hautapata nafas ya kushauriwa jamii forum....achana nae usimuoee ila ukijifanya kichwa ngumu hii text utaikumbuka hadi uzeeeni...tafta mwanamke mwingine oa
 
Msamaha ni kwa sababu ameishi na mtoto wa watu almost miaka kumi bila kwenda kuwaona wazazi wake na kumzalisha juu,yapo makabila kwa kosa hilo wanatoza hadi faini.

So hata akienda leo hakitazungumzwa kitu mpaka aombe msamaha.
 
Kosa lao wote.
Hivi unajua ni miaka 18 wameishi bila mtu kuonekana kwa mwenzie na huyu mgandiwa akili naye hajonekana kwao toka 2017..!!??? Kwa maelezo hayo tu unaona ana akili kweli huyo?? Sawa, kosa lao wote, lakini aliyeomba ushauri ni huyu ambaye akili yake imestaki..! Kwa mwandiko ule, acha akili igande..!!
 
Hadi sasa mkeo kashakuwa kichwa cha familia, Umezubaa kidogo kakuvua vyeo sasa anakuendesha.
 
Kakuroga huyo mwanamke aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…