Ndugu Nape, kwenye hili pia Mungu ameamua ugomvi?

Boss la DP World

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
2,318
Reaction score
8,464
Mbunge wa jimbo la mtama ndugu Nape Nnauye aliwahi kusema kuwa kifo cha rais Magufuli ni Mungu ndiye aliye amua ugomvi, swali langu kwake je, kifo cha Membe ni Mungu pia ameamua ugomvi dhidi ya ndugu Cyprian?

Fundisho: Tuchunge midomo yetu, tusiendeshwe na hisia zetu, tutumie akilizetu vyema ku control hisia zetu.

Nawatakia weekend njema, kwa upande wangu weekend imeanza vizuri sana.
 
Duuh nimekua shocked na hii taarifa sana any way huenda alikua anaumwa magonjwa yake tusisingizie watu.
 
Mpaka huu msiba unaisha ndugu Nape atakula za uso hata kama hasomi nafsi itamkumbusha.
 
Mbunge wa jimbo la mtama ndugu Nape Nnauye aliwahi kusema kuwa kifo cha rais Magufuli ni Mungu ndiye aliye amua ugomvi, swali langu kwake je, kifo cha Membe ni Mungu pia ameamua ugomvi dhidi ya ndugu Cyprian?

Fundisho: Tuchunge midomo yetu, tusiendeshwe na hisia zetu, tutumie akilizetu vyema ku control hisia zetu.

Nawatakia weekend njema, kwa upande wangu weekend imeanza vizuri sana.
🤔🤔🤔🤔🤔
 
Back
Top Bottom