Ndugu Nape, kwenye hili pia Mungu ameamua ugomvi?

Sina mengi, walipokuwa wanalia wafiwa,wewe ulikuwa unashangilia.
Ulikosea, wamekushtaki kwa MWENYEZI Mungu..
Ahsante
 
Tuacheni porojo. Waliokufa wamekufa sababu siku zao zilishafika.

Waliosema kauli zao walisema lakini hazina athari yeyote katika kuamua hatma ya wanaadamu wengine.

Kusema aseme Nape miaka 2 iliyopita kufa afe Membe jana. Bullshit.
 
Kauli ni za kuchunga sana kwa kila mmoja wetu.....

Tuko hapa Karimjee Hall kumuaga mzee wetu El Commandante BCM kabla hatujampeleka nyumbani Londo.....

Dunia ni ya kupita.....siasa zisitufanye kuwa WANYAMA.....

Rest easy BCM aaaamin[emoji120]

Pole sana dada Cecy na nduguzo [emoji120]
 
Tuacheni porojo. Waliokufa wamekufa sababu siku zao zilishafika.

Waliosema kauli zao walisema lakini hazina athari yeyote katika kuamua hatma ya wanaadamu wengine.

Kusema aseme Nape miaka 2 iliyopita kufa afe Membe jana. Bullshit.
Unaijua karma wewe, mwache NAPE ashupaze shingo malipo ni hapa hapa Duniani. Mbinguni tunaenda kuchomwa moto tu
 
Tatizo mnaangalia sana movie.

Death is the reality of life. Ukiishi lazima ufe. Hayo ya karma yanaishia kwenye movies tu.
 
Back
Top Bottom