Ndugu nisaidieni kujua aina hizi za fence ya nyumba

Zinaitwa hedge, na hizo ulizoweka uoto huo haupo Tanzania

Kwa kukusaidia tu, kama bougainvillea inastawi hapo ulipo, aina ile wanayotumia Moshi kwa ajili ya hedge, weka hiyo. Itakupa the same effect. Ila lazima iwe inachongwa on a regular basis. Tena ina miiba mikali

 
Nakushauri fanya yafutayo kupata unacho kitaka.


1. Nunua zile nguzo za zege, urefu wa futi tano au sita, simika kwa zege.

2. Chukua fencing Wire, zungushia.

3. Nunua zile sengenge zungushia mkabala

Hapo umepata uzio Cheap na inaweza kukupa amani kidgo. Sasa panda michongoma kwa nje ya hiyo fensi ili kuziba ndani usionekane au Panda mapension kuziba ndani.


Kumbuka fensi ni jambo moja na Usalama ni jambo jingine, maana kama fensi ya ukuta tu wadau wanaingia na kupiga tukio sembuse hiyo?

La msing weka na ulinzi au fuga wanyama wa ulinzi kamq mbwa.
 
Ahsate mkuu, je kuna aina nyingine ambayo inanyooka zaidi kwenda juu bila kutawanyika sana ili kupunguza kurekbishq mara kwa mara
 
AHsante mkuu
 
Haya maua nawez kupata picha ya karibu?
 
N
Nimekutumia namba ya wtsapp kwenye dp yako ili unitumie picha
 
Hii inahitaji matunzo mnoo, ukijisahau unaotesha kichaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…