Uchaguzi 2020 Ndugu Polepole kitendo cha kusema hadharani kuwa Lissu "Siyo mwenzetu" na umepanga kumuanika siku saba za mwisho ni upuuzi mwingine katika siasa!

Huu ndio wakati wa kuichanachana CCM naona wanajiingiza kwenye 18 wenyewe tuwe mguu sawa wakati unawadia naona dadili zote.
Ahe kukanusha kama sio kweli
Lissu ajibizane na Pole pole?
Labda kama amekosa kazi[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Umenikumbusha Haji Manara na Jerry Muro!

Haya mambo ya ushoga msiyaendekeze sana yana madhara yasiyotarajiwa!
Hapo sasa ndio ccm wamejaa kwenye 18 za upinzani vizuri. Waseme watakachosema kuhusu Lisu waweke na picha kabisa, maana hapo ndio wameingia pale panapotakiwa. Wakiwa wamepanick ndio inakuwa rahisi kuongea siri walizozificha.
Usihangaike na mtu asiye na msimamo , Polepole si size ya Lissu , huyu ni mchumia tumbo aliyeokotwa barabarani na Kikwete

Hebu mwangalie hapa
View attachment 1582529
 
Polepole anaposema Lissu si mwenzao anaweka msisitizo kwanini walimshambulia kwa risasi zaidi ya thelathini. Polepole analeta chuki ili uchaguzi uvurugike baada ya kuona mwelekeo wao si mzuri.
 
Mbona mnaanza kulia lia wakati hata hajazungumzia jambo lenyewe??

Hii inamaana kuwa ni kweli kuna siri nyuma ya pazia.
 
Hawa wapuuzi wa ccm wamepanic ni kuwapuuza tu Kama polisi walivyowapuuza kule Geita,Songwe nk nk
Kama Wana hasira wanywe maji wakishindwa wachungulie shimo la choo
 
CCM mshahara wa Polepole mngeutumia kuwanunulia watoto yatima chakula lingekua jambo lenye tija katika jamii na kheri kwa Mwenyezi Mungu.
Hahaha mlijiona mnaweza sana siasa za maji taka? Jiandaeni sasa Polepole katoa "introduction" tu!
 
Poleni sana ana passport ya nchi nyingine
 
Ila wewe na vuvuzela Lissu mnaelekea pazuri siyo?
 
Inaonesha hata Wewe una Passport ya nchi nyingine! Mnaumbuliwa
Huyu kaolewa na kibabu cha kizungu huko UK tena kinaumwa hivyo anastress za kutosha hivyo huwa anakuja huku JF kupunguza stress!
 
Kila mtu ni mwanasiasa,huwezi kuikwepa siasa
Kupitia uzi huu kuna jambo nimeligundua...siasa tuwaachie wanasiasa sisi tuandae vichinjio tu sio maneno tu huku jf.
 
Acha tumwanike , we inakuuma nini ... Ye si anadai anaanika madudu ya CCM Acha na sisi tumuanike.....
 
Badala atumie muda wake kumuombea kura mwenyekiti wake, anautumia kufanya personal attack kwa Lissu

Anasahau kwamba haya yote ni marusio na hayabadili nia ya watanzania katika kuiondoa ccm madarakani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…