Uchaguzi 2020 Ndugu Polepole kitendo cha kusema hadharani kuwa Lissu "Siyo mwenzetu" na umepanga kumuanika siku saba za mwisho ni upuuzi mwingine katika siasa!

Tangu lini chakubanga akawa na akili, mwambieni tunamkumbuka sana yule pacha wake aliyekuwa kwenye tume ya kukusanya maoni ya katiba mpya. Alosema uchaguzi ukiwa huru na wa haki CCM ijiandae kukabidhi ikulu. Asituondoa kwenye agenda ya kuelekea Ikulu na hayo maneno yake Kwani kuongea si mtu yeyote anaweza kuongea tu hivi akialika vyombo vya habari na kuongea jambo ambalo kila mtu anajuwa ni kutokana na kushindwa kujibu hoja itasaidia nini chama chake.
 
Uzuri ni kwamba kila mtanzania mwenye akili timamu, Kamati ya kichwa chake inamwambia aliyetaka kumuua Lissu ni nani.Watanzania kwa umoja wetu twende ma Lissu. Ni gharama kubwa tutapaswa kuilipia kama Taifa na kila mtu mmoja mmoja tutakapo muacha Ndugu Magufuri aapishwe rais kipindi cha pili.

Ni hakika tutalipia bila kujali wewe ni nani na uko chama gani.Bila kujali wewe ni muajiliwa au umejiajiri.Kwa vyovyote gutalipa kwa gharama kubwa.Walisema husipojifunza kwa njia rahisi basi ipo siku ni lazima ujifunze kwa njia ngumu na kwa jasho na damu.
 
Lissu akamatie hapohapo....
 
Polepole ama IQ ya 32 hamuwezi Lissu hata kidogo
 
Yaani Lissu Vs CCM yote...Mungu amtie Nguvu..
Safari hii wanalo
 
Yaani Lissu Vs CCM yote...Mungu amtie Nguvu..
Safari hii wanalo
Unaona sasa Mnapokosea kwa Hiyo CHADEMA Imekufaaa hahaha NDIO MAANA TUNASEMA CCM NI TAASISI Nyie Kachama ka Mbowe Kapo mfukoni
 
Wanaume hatuna chama.....tunaangalia mchezo kwa pembeni boya wewe....
HAHAHA HAYA WAFUASI WA LISSU MNASIMAMA WAPI KUHUSIANA NA USHOGA SISI WAFUSIA WA MAGUFULI TUNAKEMEA USHOGAAAAA NA KUUKATAA WAFUASI WA LISUUUU JE
 
Huyu ni mmoja Kati ya waliotuharibia nchi yetu ,kwa kushauriana na m.kiti vibaya.Asitafute kichaka Cha kujificha awajibike kwa aliyoyafanya.
 
Tuliwaambia mgombea wenu hauziki amkusikia Ni mweupe na mwepesi Sana kwenye reasoning kujenga hoja za ushawishi kulingana na eneo husika Sasa kijijini unazungumzia ndege, flyover, mabeberu hata awaelewi.Jiwe ajawahi shinda chochote bila kubebwa.
Hata PhD yake.
 
Polepole ni munafiki
 
Lisu Hana kashfa yeyeto Ni clean sio fisadi, mwizi, mbinafsi, mdini, mkabila, mkanda, visasi, Ni mtu sahihi wa kutuvusha
Mkuu uko sahihi. Lissu hana makandokando hapo ndo wanakwama. Ila ukiangalia body language ya Polepole leo unaona ni jinsi gani wanavyoteseka na Lissu, daah mpk matusi. Oooh Lissu ni Msukule, ni mlendamlenda yaani mambo ya ovyo kabisa kusemwa na msemaji wa chama kikubwa kama CCM. Hamna namna wafungashe watuachie ikulu yetu hatutawalipiza mabaya waliotutendea
 
Hii tume ambayo msingi wake mkubwa ni double standards...Tundu Lissu asiende tuone kitakochofanyika...
Hii tume ambayo yenyewe haina maadili...ninewupe kama pamba. Wametoa hukumu gani kwa wagombea ubunge na udiwani wa chadema kwa muda huu wote. There are all working in tandem with all the deds to ensure that winner is Magufuli.
A bunch of sycophants dancing at magufuli's tune all the time.
Magufuli has breached all the codes or regulations of this election and nothing has been said or done against him....
He has not followed the timetable during the electioneering, speaking in the local dialect as he pleases during this campaign, dealing with construction of road projects during the campaign, giving money to people. This is absurd and yet no significant statement has come from NEC to condemn what Magufuli is doing. The only help we need is ICC at the Haque.
 
Walitegemea hoja ya sgr, ndege, flyover, mabeberu, corona ingewabeba Sasa hawana jipya la kuwaeleza wananchi zaidi ya hayo marudio ya miaka 5
 
The way uanvyoongea hapa unaonekana kama binaadam wa maana sana lakini mambo ya ovyo anayoongea Lissu kamwe hatutayakubali.Na hata kama kuna mpumbavu mwingine anayemuunga mkono naye hatumkubali hata kama ni wewe au mwingine.Bora abakie na huo ushoga wake lakini kitendo cha kusema ataweka mali zetu rehani ili tupate hiyo misaada ya watu wake hatutaki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…