Uchaguzi 2020 Ndugu Polepole kitendo cha kusema hadharani kuwa Lissu "Siyo mwenzetu" na umepanga kumuanika siku saba za mwisho ni upuuzi mwingine katika siasa!

Vipi kama wapiga kura tumeamua kiongozwa na "asiye mwenzetu?"
 
Mkuu, hawa WAHUTU wamechanganyikiwa kabisa. Kuanzia Mkurugenzi wa Uchaguzi, polepole, bashiru na jiwe mwenyewe hata sura zao zinaonyesha kabisa hawa sio wenzetu.
 
Amebonyeza panic button, kinachoendelea sasa mnapoteana
 
Mapovu kama yote. Ukweli unauma.
 
Kumtangaza Lissu kuwa Ni shoga hakutatubadirisha ambao tulikwisha amua,sanasana wenyewe watakuwa wanajiweka katika mazingira magumu
 
Siamini jinsi alivyokuwa mtu wa maana na siku hizi Sky Eclat amekuwa wa ovyo. Inawezekana Upo sahihi. Kuhusu Tundu Lissu hapa ndipo mwisho wake maana kuwa na uraia wa nchi nyingine bila kurudisha Passport ya Tanzania ni kosa la jinai
Kuna yule Jiwe ambaye kila kitu chake kina utata, kuanzia uraia wake mpaka elimu yake, achilia mbali ufisadi alioufanya kwa miaka mitano

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
CCM acheni upumbavu kila gani ina watu wake sasa hivi mmeteua wasio wanasiasa mwenyekiti sio wanasiasa,katibu sio wanasiasa,mwenezi sio mwanasiasa mnategemea mini wote hao ni waalimu dani zao wamekufa vipanga vya asili vya kujenga hoja
 
Polepole the Great, atawanyorosha
 
Lisu Ni Mr clean Hana kashfa yeyeto angekuwa nayo wangeshaianika. Ccm wamekosa pa kumuanikia
 
anajisumbua2 huyo polepole hata sisi tunajua kwamba niuongo! #Niyeye
 
Polepole shikilia hapohapo,kumbe na nyie mnaumia pale kiongozi wenu anapozalilishwa..
 
Tuambie hayo Matusi,Mzee baba.
 
Acha tumwanike , we inakuuma nini ... Ye si anadai anaanika madudu ya CCM Acha na sisi tumuanike.....
Akianikwa mama yako alivyofanyiwa kitu mbaya na huyo uliyeambiwa uwe unamuita anko! Usikunje ngumi.
 
Kaza ila kiwango chako cha uandishi bado sanaa
Pia kunbuka uyo unae mtete ni shoga kweli na kama unaisha sema nikurushie ushahidi kama MD watakubali nitupie kidude umu umu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…