hata mitume wa yesu walikua wakivaa kanzu ni vazi la wayahudi piaLissu mnafiki mkubwa huyu, limevaa kanzu huku linachuki kubwa na waislam
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hata mitume wa yesu walikua wakivaa kanzu ni vazi la wayahudi piaLissu mnafiki mkubwa huyu, limevaa kanzu huku linachuki kubwa na waislam
Hivi lini Magufuli atakubali kukaa kwenye platform moja na TUNDU LISSU ili waweze kuelezea sera zao kwa marefu na mapana ?Hakika ni mgombea Bora kuliko wote Tena kwa wakati sahihi, kwani anaepambana nae Hana uwezo wa kumpangua hata kidogo ##October tuna Jambo letu###
Hawa watu huwa wanazaliwa mara moja tu kila baada ya miaka 100.I concur with you. Lissu ni akili ya kizazi cha kina Nyerere na Oscar Kambona. Huyu jamaa ni hatari!!!
Tanzania kabla ya Lissu ilikuwa na historia ya kuwa na wanasiasa wawili tu wenye akili nao ni Julius Kambarage Nyerere na Oscar Kambona Ila sasa Mungu katuletea mwingine naye ni Tundu Antiphas Lissu
Hakika hilo halina ubishi baada ya kusoma makala yako bora na pia kufuatilia kampeni za Tundu Lissu TunduLissu2020
CHADEMA wamejipanga vizuri sana na ndiyo maana tunaona 'mawenge' kambi ya CCM Mpya mpaka Tume ya Uchaguzi na Vyombo Vingine wakikimbizana kujaribu kuzuia tufani kuu ya inayobeba kimbunga cha UHURU, HAKI na MAENDELEO YA WATU
Video: TUNDU LISSU ANAFANYA MDAHALO NA WAANDISHI MWANZA 26/09/2020
HakikaHawa watu huwa wanazaliwa mara moja tu kila baada ya miaka 100.
Ktm kada zinaongoza kula rushwa ni mawakili na mahakama na polisi. Lissu amefnya kazi ya kutetea haki maisha yake yote. Hakuna sehemu aliwahi kutajwa au hata kuhisiwa tu kuwa na kashfa yoyote ya udhulmaji. Amekuwa hovyo all the time.
Anapenda haki sana.
Huyu ni Daud wa enzi za Saul huko Yerusalem
Mrema yupi ambaye hata dasa chama chake hakina wamachama laki tano?? Hao watu aliwapataje?? Mnajipa moyo Lissu unstopableWe akili zako sawa na za ng'ombe tu! kuna mtu alimfikia mrema idadi ya watu wewe?
Umemuona Magufuli live Iringa leo?? yaani we acha tu, hapatoshi, we kaa ni chizi wenu Lissu anazunguka na mamisukule yake akidhani atachaguliwa kuwa Raisjipe moyo lakini hali ni mbaya........mi binafsi nilijua mwaka huu ni utelezi lakini iko shughuli
We bado mtoto kumbe!! mi namuongelea Mrema 1995 alivyotikisa mpaka gari inasukumwa toka wilaya hadi waya, nini alikipata?Mrema yupi ambaye hata dasa chama chake hakina wamachama laki tano?? Hao watu aliwapataje?? Mnajipa moyo Lissu unstopable
Huyo huyo Mrema sio mwingine.We bado mtoto kumbe!! mi namuongelea Mrema 1995 alivyotikisa mpaka gari inasukumwa toka wilaya hadi waya, nini alikipata?
Nimewahi liongelea hili suala la uadilifu wa lisu....jamaa wakanishambulia sana kwa kusema kwa kuwa ni mwanasheria yawezekana alizulumu watu huko na hao ndio huenda walimpiga risasi..kitu ambacho kwa lisu bado ni ngumu kuamini kwa mujibu ya historia yake isiyokuwa na mawaaaHawa watu huwa wanazaliwa mara moja tu kila baada ya miaka 100.
Ktk kada zinazoongoza kula rushwa ni mawakili na mahakama na polisi. Lissu amefanya kazi ya kutetea haki maisha yake yote. Hakuna sehemu aliwahi kutajwa au hata kuhisiwa tu kuwa na kashfa yoyote ya udhulmaji. Amekuwa hovyo all the time.
Anapenda haki sana.
Huyu ni Daud wa enzi za Saul huko Yerusalem
Acha kumkufuru Mungu asee.... Ur overrating himMazuri ya Lissu ni mengi mno. Lakini pamoja na yote haya Lissu hana kashfa wala madoa yoyote unaweza sema Lissu ni mtakatifu.
Mungu amejisazia watakatifu wake hapa duniani. LISSU ni miongoni mwao labda wewe kama ni mpagani sawa.Acha kumkufuru Mungu asee.... Ur overrating him