Uchaguzi 2020 Ndugu Tundu Antipas Lissu, mgombea bora wa urais kuwahi kutokea Tanzania

Uchaguzi 2020 Ndugu Tundu Antipas Lissu, mgombea bora wa urais kuwahi kutokea Tanzania

Hoja za Lisu wanazielewa vizuri sana watumishi hewa na mazwazwa. Mwenye akili timamu hawezi hata siku moja kumuunga mkono zombi anayeropoka ropoka tu hana Sera wala hajitambui na inaonekana huenda akawa ni mwezi mchanga.
 
I concur with you. Lissu ni akili ya kizazi cha kina Nyerere na Oscar Kambona. Huyu jamaa ni hatari!!!

Tanzania kabla ya Lissu ilikuwa na historia ya kuwa na wanasiasa wawili tu wenye akili nao ni Julius Kambarage Nyerere na Oscar Kambona Ila sasa Mungu katuletea mwingine naye ni Tundu Antiphas Lissu
 
Hawa watu huwa wanazaliwa mara moja tu kila baada ya miaka 100.

Ktk kada zinazoongoza kula rushwa ni mawakili na mahakama na polisi. Lissu amefanya kazi ya kutetea haki maisha yake yote. Hakuna sehemu aliwahi kutajwa au hata kuhisiwa tu kuwa na kashfa yoyote ya udhulmaji. Amekuwa hovyo all the time.

Anapenda haki sana.

Huyu ni Daud wa enzi za Saul huko Yerusalem
 
Hakika hilo halina ubishi baada ya kusoma makala yako bora na pia kufuatilia kampeni za Tundu Lissu TunduLissu2020

CHADEMA wamejipanga vizuri sana na ndiyo maana tunaona 'mawenge' kambi ya CCM Mpya mpaka Tume ya Uchaguzi na Vyombo Vingine wakikimbizana kujaribu kuzuia tufani kuu ya inayobeba kimbunga cha UHURU, HAKI na MAENDELEO YA WATU

Video: TUNDU LISSU ANAFANYA MDAHALO NA WAANDISHI MWANZA 26/09/2020

Alinijibia swali la Mabeberu mpaka nikadwaa!
 
Hawa watu huwa wanazaliwa mara moja tu kila baada ya miaka 100.

Ktm kada zinaongoza kula rushwa ni mawakili na mahakama na polisi. Lissu amefnya kazi ya kutetea haki maisha yake yote. Hakuna sehemu aliwahi kutajwa au hata kuhisiwa tu kuwa na kashfa yoyote ya udhulmaji. Amekuwa hovyo all the time.

Anapenda haki sana.

Huyu ni Daud wa enzi za Saul huko Yerusalem
Hakika
 
jipe moyo lakini hali ni mbaya........mi binafsi nilijua mwaka huu ni utelezi lakini iko shughuli
Umemuona Magufuli live Iringa leo?? yaani we acha tu, hapatoshi, we kaa ni chizi wenu Lissu anazunguka na mamisukule yake akidhani atachaguliwa kuwa Rais
 
Mrema yupi ambaye hata dasa chama chake hakina wamachama laki tano?? Hao watu aliwapataje?? Mnajipa moyo Lissu unstopable
We bado mtoto kumbe!! mi namuongelea Mrema 1995 alivyotikisa mpaka gari inasukumwa toka wilaya hadi waya, nini alikipata?
 
Hawa watu huwa wanazaliwa mara moja tu kila baada ya miaka 100.

Ktk kada zinazoongoza kula rushwa ni mawakili na mahakama na polisi. Lissu amefanya kazi ya kutetea haki maisha yake yote. Hakuna sehemu aliwahi kutajwa au hata kuhisiwa tu kuwa na kashfa yoyote ya udhulmaji. Amekuwa hovyo all the time.

Anapenda haki sana.

Huyu ni Daud wa enzi za Saul huko Yerusalem
Nimewahi liongelea hili suala la uadilifu wa lisu....jamaa wakanishambulia sana kwa kusema kwa kuwa ni mwanasheria yawezekana alizulumu watu huko na hao ndio huenda walimpiga risasi..kitu ambacho kwa lisu bado ni ngumu kuamini kwa mujibu ya historia yake isiyokuwa na mawaaa

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom