MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 4,071
- 10,028
Izo business huwa nazisaka sana but unfortunately sijawahi kupata hint ya wapi pa kuanzia wala kumalizia. Maisha ndo hayahaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuanze kuwachunguza hawa matajiri wetu wanaoota kama uyoga. Ima wanatumia dini, sanaa, hata siasa kutupiga changa la mato wanangu. Kweli siyo kila kingaacho ni dhahabu. Na za mwizi ni arobaini.Ndugu wawili wanaojinadi mitandaoni ni mabilionea kwa kuishi maisha ya juu na anasa huku wakitoa motisha kwa vijana wengine kupambana kupitia mtandao wa Tiktok wakamatwa Dubai na Cocaine.
View attachment 3262909
View attachment 3262911
View attachment 3262912
View attachment 3262913
Yule Godlove- ndo ana copy and paste🤣! CRIME DONT PAY- Lucky dube🙏- magetoni tusitoke kifala!! Tujielewe kwanza!Ndugu wawili wanaojinadi mitandaoni ni mabilionea kwa kuishi maisha ya juu na anasa huku wakitoa motisha kwa vijana wengine kupambana kupitia mtandao wa Tiktok wakamatwa Dubai na Cocaine.
View attachment 3262909
View attachment 3262911
View attachment 3262912
View attachment 3262913
Tuongezee😂 hapo Miaka 25 🤔unawezaje kumiliki utajiri from. Scratch kama sio extreme player, latest musician, or maybe n genius umeuza app kwenye kampuni fulani kubwaMtu miaka 25 hajafika, hajarithi mali, wala hajatengeneza disruptive technology yoyote......
Huyu hakuna analojua ni wa kumpuuza. Wealth building takes time
Yule Godlove- ndo ana copy and paste🤣! CRIME DONT PAY- Lucky dube🙏- magetoni tusitoke kifala!! Tujielewe kwanza!
Sasa babu watu kama sisi wenye 35 🤔😂bado tupo home unataka kuuambia tubaki homeYule Godlove- ndo ana copy and paste🤣! CRIME DONT PAY- Lucky dube🙏- magetoni tusitoke kifala!! Tujielewe kwanza!
Kama umeamua hamna noma50 zangu ni pamoja na kutafuta info bwashee
You are right!Tuongezee😂 hapo Miaka 25 🤔unawezaje kumiliki utajiri from. Scratch kama sio extreme player, latest musician, or maybe n genius umeuza app kwenye kampuni fulani kubwa
Ukiachilia mbali kun-inherit
Kama hata kupata link tu imekua kipengele bas hata kuifanya napo itakua kipengele!Izo business huwa nazisaka sana but unfortunately sijawahi kupata hint ya wapi pa kuanzia wala kumalizia. Maisha ndo hayahaya
Ogopa sana the so called motivational speakers! Kasomeni kitabu Katoka Baba Mmoja Toka Safari ya Mbali - Mkitaka Mali Mtaipata Shambani. No shortcut in life; don't live illusional life.Ndugu wawili vijana waliojipatia umaarufu mtandaoni Tiktok kwa kuishi maisha ya kibilionea na wakitoa motisha kwa vijana wengine kupambana wakamatwa Dubai na Cocaine.
View attachment 3262952
View attachment 3262957
View attachment 3262911
View attachment 3262912
hakika mkuu ngoja tu tuendelee kubanana na mama abduli kwenye tozoKama hata kupata link tu imekua kipengele bas hata kuifanya napo itakua kipengele!
Ndio maana uko kama ulivyo.Na kwaresma yote hii bila hata aibu unasafirisha madawa ya kulevya?
Tatizo kubwa ni kwamba kuna imani inayosema kuwa unaweza kudhulumu ,kufanya biashara yoyote chafu na hata kukwepa kodi lakini utasafisha pesa zako na kufutiwa madhambi kwa kutoa zaka ,kujenga nyumba za ibada, kwenda kuhiji , kusaidia maskini n.k.Tuanze kuwachunguza hawa matajiri wetu wanaoota kama uyoga. Ima wanatumia dini, sanaa, hata siasa kutupiga changa la mato wanangu. Kweli siyo kila kingaacho ni dhahabu. Na za mwizi ni arobaini.
Hakuna imani kama hiyo.Tatizo kubwa ni kwamba kuna imani inayosema kuwa unaweza kudhulumu ,kufanya biashara yoyote chafu na hata kukwepa kodi lakini utasafisha pesa zako na kufutiwa madhambi kwa kutoa zaka ,kujenga nyumba za ibada, kwenda kuhiji , kusaidia maskini n.k.
Sasa watu wenye imani kama hiyo ukiwapa nafasi kwenye nchi basi tegemea uhuni wote na ufisadi wote kufanyika na watalindana kwa mbinu zote huku wakijifanya ni wema sana wakati wa mchana kumbe ni waovu kuliko shetani gizani.
Ndio maana wanauza bandari na viwanja vya ndege ili wapitishe biashara zao matokeo yake wanakamatiwa nje ya nchi ?
Aibu kubwa sana ?
Hii inafanya hata majeshi yetu hawaheshimiki tena ndio maana wanapekuliwa huko nje kutokana na uhuni wa watu wachache kulidhalilisha Taifa lililojijengea heshima kubwa wakati wa Mwalimu Nyerere baba wa Taifa.
Fuatilia vizuri utagundua jambo.Hakuna imani kama hiyo.