Ndugu vijana wawili mabilionea wanaofahamika kwa kutoa motisha ya maendeleo mitandaoni (Motivational speaking) wanaswa Dubai kwa ulanguzi wa Cocaine

Ndugu wawili wanaojinadi mitandaoni ni mabilionea kwa kuishi maisha ya juu na anasa huku wakitoa motisha kwa vijana wengine kupambana kupitia mtandao wa Tiktok wakamatwa Dubai na Cocaine.

View attachment 3262909

View attachment 3262911

View attachment 3262912

View attachment 3262913
Tuanze kuwachunguza hawa matajiri wetu wanaoota kama uyoga. Ima wanatumia dini, sanaa, hata siasa kutupiga changa la mato wanangu. Kweli siyo kila kingaacho ni dhahabu. Na za mwizi ni arobaini.
 
Mtu miaka 25 hajafika, hajarithi mali, wala hajatengeneza disruptive technology yoyote......

Huyu hakuna analojua ni wa kumpuuza. Wealth building takes time
Tuongezee😂 hapo Miaka 25 🤔unawezaje kumiliki utajiri from. Scratch kama sio extreme player, latest musician, or maybe n genius umeuza app kwenye kampuni fulani kubwa

Ukiachilia mbali kun-inherit
 
Sasa babu w
Yule Godlove- ndo ana copy and paste🤣! CRIME DONT PAY- Lucky dube🙏- magetoni tusitoke kifala!! Tujielewe kwanza!

Sasa babu watu kama sisi wenye 35 🤔😂bado tupo home unataka kuuambia tubaki home
 
Tuongezee😂 hapo Miaka 25 🤔unawezaje kumiliki utajiri from. Scratch kama sio extreme player, latest musician, or maybe n genius umeuza app kwenye kampuni fulani kubwa

Ukiachilia mbali kun-inherit
You are right!
 
Tuanze kuwachunguza hawa matajiri wetu wanaoota kama uyoga. Ima wanatumia dini, sanaa, hata siasa kutupiga changa la mato wanangu. Kweli siyo kila kingaacho ni dhahabu. Na za mwizi ni arobaini.
Tatizo kubwa ni kwamba kuna imani inayosema kuwa unaweza kudhulumu ,kufanya biashara yoyote chafu na hata kukwepa kodi lakini utasafisha pesa zako na kufutiwa madhambi kwa kutoa zaka ,kujenga nyumba za ibada, kwenda kuhiji , kusaidia maskini n.k.
Sasa watu wenye imani kama hiyo ukiwapa nafasi kwenye nchi basi tegemea uhuni wote na ufisadi wote kufanyika na watalindana kwa mbinu zote huku wakijifanya ni wema sana wakati wa mchana kumbe ni waovu kuliko shetani gizani.

Ndio maana wanauza bandari na viwanja vya ndege ili wapitishe biashara zao matokeo yake wanakamatiwa nje ya nchi ?

Aibu kubwa sana ?
Hii inafanya hata majeshi yetu hawaheshimiki tena ndio maana wanapekuliwa huko nje kutokana na uhuni wa watu wachache kulidhalilisha Taifa lililojijengea heshima kubwa wakati wa Mwalimu Nyerere baba wa Taifa.
 
Hakuna imani kama hiyo.
 
Hakuna imani kama hiyo.
Fuatilia vizuri utagundua jambo.
Utagundua ni kwa nini tangu karne ya 7 Afrika inatawaliwa na watu wenye dini lakini uhuru umeanza kupatikana baada ya wamisionari kuja karne ya 20 . Karne 12 zote hapakuwa na kitu kinaitwa haki na uhuru wa mtu mweusi kujitawala
 
Back
Top Bottom