Sasa mtaalam kama mtu kafa si kafa, nongwa ya Nini,Mbona hutoi na list ya ma oficer upinde wanaodondoshwa kila siku pale Gaza? Wew umekazania ya wengine to report nzima nzima ili watu wajue
Hao Syria wanajichimbia kaburi tulishaonywa kabla wayahudi sio waaminifu, Leo Netanyau kasema Hata wakiachiwa mateka wote vita itaendelea, hao viumbe Mungu ndio aliwaumba anawajua vizuri kuliko sisi na ukijiunga nao duniani utakula shisha lakini mbinguni ni utakua Kuni za tanuriSasa mtaalam kama mtu kafa si kafa, nongwa ya Nini,
Wenzako Syria wanashangilia kuondolewa vikwazo and soon wataachia Ardhi ya kwa Israel na watasaini mkataba wa Amani...
Bado Netanyahu na wenzake.Mwanahabari wa kijeshi Doron Kadosh akiwa na maelezo ya ziada kuhusu jinsi shambulio la kumuondoa Muhammad Sinwar lilivyotekelezwa kwa njia ambayo ingegeuza mfumo wa mifereji ya maji kuwa mtego wa kifo kwa wale wanaokaa huko:
- Katika shambulio hilo, Jeshi la Wanahewa lilitumia risasi kadhaa, pamoja na mabomu ya kupenya kwenye bunker.
- Shambulio hilo lilitekelezwa kwa namna sawa na lile ambalo Hassan Nasrallah aliuawa huko Dahiyya huko Beirut: shambulio kwenye milango yote ya kuingilia na kutoka kwenye milango ya eneo la chini ya ardhi, kwa lengo la kuzuia kutoroka baada ya shambulio hilo, ikiwa Sinwar ataweza kutoroka.
- Njia ya kushambulia inachanganya kuanguka na mabomu ya kupenya, kwa lengo kwamba mtu yeyote ambaye hatakufa mwanzoni kwa matokeo ya athari na kuanguka atakufa baadaye kutokana na kukosa hewa (kama Nasrallah anaweza kufa).
- Ili kuimarisha uhakika wa kuangamizwa: Jeshi la Anga pia linashambulia sasa, baada ya shambulio hilo, mara kadhaa zaidi - kwa mtu yeyote anayekaribia na kujaribu kuokoa majeruhi kutoka kwa eneo la chini ya ardhi
Kama mdudeMwanakulitafuta,mwanakulifaindi
Umeandika "vizuri" sana kana kwamba upo katikati ya vita Gaza.Ila,ukumbuke tu,watu wa Gaza wanalia na kuomba vita iishe na mzayuni anaendeleza kipigo.Kwa hamasi hii njia ya kuua viongozi havifanyi kazi maana kuanzia vita ianze wameua viongozi wengi TU ila Leo hii vita Haina dalili za kuisha hivi karibuni Hamas Bado wanapata mahitaji Yao Kama kawaida Bado wanatumia tunnels zao Kama kawaida Bado wanaua kila siku 10+ IDF mpaka reserve wameitwa ila hawataki kwenda kuzimu Gaza, ukiingia pako kimya Kama hamna mtu ila kuna kamera Kama njugu Kuna mabomu ya ardhini kila kona ni wao tu wanajiamulia wamerundika wangapi, huiwezi kushinda vita guirella war Kwa namna IDF wanaipigana narudia hakuna namna IDF ataishinda hii vita zaidi ya kuangamiza watu na makazi hamas wako mbele ya muda Sana na brave Kwenye Kombat zaidi yao
Hao Syria wanajichimbia kaburi tulishaonywa kabla wayahudi sio waaminifu, Leo Netanyau kasema Hata wakiachiwa mateka wote vita itaendelea, hao viumbe Mungu ndio aliwaumba anawajua vizuri kuliko sisi na ukijiunga nao duniani utakula shisha lakini mbinguni ni utakua Kuni za tanuri
Quran
2:120 - Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.
Kwahawa mashoga wasasa bila msaada wa shogaake marekani HATA m23 wanawakalisha, uwez shinda vita Kwa kulipia majengo wakati face to face huwezTemaneni na Myahudi yule ni katili Kuna miungu kabila ujio wa Allah wenu walijaribu kuwafuta wakashindwa akina Baal wa wafilisiti alishindwa
Safari hii mtanyooka tu!!Kwa hamasi hii njia ya kuua viongozi havifanyi kazi maana kuanzia vita ianze wameua viongozi wengi TU ila Leo hii vita Haina dalili za kuisha hivi karibuni Hamas Bado wanapata mahitaji Yao Kama kawaida Bado wanatumia tunnels zao Kama kawaida Bado wanaua kila siku 10+ IDF mpaka reserve wameitwa ila hawataki kwenda kuzimu Gaza, ukiingia pako kimya Kama hamna mtu ila kuna kamera Kama njugu Kuna mabomu ya ardhini kila kona ni wao tu wanajiamulia wamerundika wangapi, huiwezi kushinda vita guirella war Kwa namna IDF wanaipigana narudia hakuna namna IDF ataishinda hii vita zaidi ya kuangamiza watu na makazi hamas wako mbele ya muda Sana na brave Kwenye Kombat zaidi yao