Ndugu wa damu wa Yahya Sinwar leo naye Ameangamizwa!!

Sasa mtaalam kama mtu kafa si kafa, nongwa ya Nini,

Wenzako Syria wanashangilia kuondolewa vikwazo and soon wataachia Ardhi ya kwa Israel na watasaini mkataba wa Amani...
Na Trump yupo huko huko Arabuni na Elon musk wanakunywa ma whiskey tu na nyama yenye mafuta mengi pamoja na wamiliki wa dini ya kiislamu ( waarabu)
Qatar ndo kapagawa kabsa na furaha Kwa ujio wa Trump wamempa luxury jumbo jet boing 747-8.
 
Kwahawa mashoga wasasa bila msaada wa shogaake marekani HATA m23 wanawakalisha, uwez shinda vita Kwa kulipia majengo wakati face to face huwez
Kwani lini hamas alipgana face to face? Ile sio combat war any more,Hamas wanavaa magwanda Kwa mbwembwe na silaha mkononi wakimaliza wanakimbilia chapu chapu kwenye mahema kuvua gwanda na kuvaa madela.
Washauli wazagae mtaani na silaha mkononi tuone ubora wao.

Iran aliwaahidi ataingilia kama IDF ataingia Gaza matokeo yake akatuma watoto wake Hezbollah na Houthi leo hii haijulikani hata kama bado kuna kamanda hata mmoja wa Hezbollah aliyeko hai wala kiongozi wa Hezbollah
 
Kwa hamasi hii njia ya kuua viongozi havifanyi kazi maana kuanzia vita ianze wameua viongozi wengi TU ila Leo hii vita Haina dalili za kuisha hivi karibuni Hamas Bado wanapata mahitaji Yao Kama kawaida Bado wanatumia tunnels zao Kama kawaida Bado wanaua kila siku 10+ IDF mpaka reserve wameitwa ila hawataki kwenda kuzimu Gaza, ukiingia pako kimya Kama hamna mtu ila kuna kamera Kama njugu Kuna mabomu ya ardhini kila kona ni wao tu wanajiamulia wamerundika wangapi, huiwezi kushinda vita guirella war Kwa namna IDF wanaipigana narudia hakuna namna IDF ataishinda hii vita zaidi ya kuangamiza watu na makazi hamas wako mbele ya muda Sana na brave Kwenye Kombat zaidi yao
Gaza pale hakuna cha golila wala combat war...labda kama huna ujuzi na mambo ya vita.
Wako brave kwenye combat halafu wanapigana wamevaa majinsi na makobazi na kuficha nyuso wakiona wamezidiwa wanakimbilia mashimoni wanatoka wamevaa madela wamebeba na vitoto
 
Temaneni na Myahudi yule ni katili Kuna miungu kabila ujio wa Allah wenu walijaribu kuwafuta wakashindwa akina Baal wa wafilisiti alishindwa
Myahudi tunajua Hata kubali Quran 2:120, lakini Sasa amekutana na waislam that's bad for her, Muslim is principles.. we never accept anything other from Allah that's the equation they need solve...
 
Gaza pale hakuna cha golila wala combat war...labda kama huna ujuzi na mambo ya vita.
Wako brave kwenye combat halafu wanapigana wamevaa majinsi na makobazi na kuficha nyuso wakiona wamezidiwa wanakimbilia mashimoni wanatoka wamevaa madela wamebeba na vitoto
Wewe huna unachojua hakuna hamas anayeishi mtaani Wana camps zao katika tunnels na wanafuatilia movement za IDF Kwa camera wakifika sehemu wanayotaka wao ndio wanatoka katka tunnels na kuwafanyia ambush wapo wanaovaa na wapo wasiovaa pia ila style Yao ya kupigana hamtakaa mtoboe
 
Safari hii Mtanyooka tu!!
 
Safari hii mtanyooka tu hakuna cha Allah wala Quran yenu!!
Waislam wa kweli wananyooshwa na Allah pekee tunajivunia Quran. Hao unaowasifia kuua na kuwatia njaa wengine elewa kinachotaabishwa na binadamu ni mwili TU, sisi(waislam wa kweli) tunamuogopa anayeutaabisha mwili na roho Kwa muda usio na kikomo.
 
Wewe huna unachojua hakuna hamas anayeishi mtaani Wana camps zao katika tunnels na wanafuatilia movement za IDF Kwa camera wakifika sehemu wanayotaka wao ndio wanatoka katka tunnels na kuwafanyia ambush wapo wanaovaa na wapo wasiovaa pia ila style Yao ya kupigana hamtakaa mtoboe
Wew unajua yote hayo ila IDF na SHINBET hawaelewi!!!!!??? Ipo kazi basi. I thought Ismail hanniyeh na kina Yahya Sinwar wangekuwa hai kwenye hizo tunnels.
 
Idf nao wanajua, kujua nakuzuia hizo ni assignment mbili tofauti Tena wao huwa wanafanya analysis na Kuna machawa pia Palestine humo wanatoa taarifa za viongozi hivyo Mimi nakupa kilichopo field. Yahya ameishi miaka mingi Kwenye tunnels na yahya aliawa bahati mbaya ilikua siku mbaya kazini kwani alikua Frontline na IDF hawakujua Kama ni yahya wao walidhani yuko Kwenye tunnels
 
Kwa hamasi hii njia ya kuua viongozi havifanyi kazi maana kuanzia vita ianze wameua viongozi wengi TU ila Leo hii vita Haina dalili za kuisha hivi karibuni Hamas Bado wanapata mahitaji Yao Kama kawaida Bado wanatumia tunnels zao Kama kawaida Bado wanaua kila siku 10+ IDF mpaka reserve wameitwa ila hawataki kwenda kuzimu Gaza, ukiingia pako kimya Kama hamna mtu ila kuna kamera Kama njugu Kuna mabomu ya ardhini kila kona ni wao tu wanajiamulia wamerundika wangapi, huiwezi kushinda vita guirella war Kwa namna IDF wanaipigana narudia hakuna namna IDF ataishinda hii vita zaidi ya kuangamiza watu na makazi hamas wako mbele ya muda Sana na brave Kwenye Kombat zaidi yao
Baada ya hi vita kwisha, bila kujali Hamas au IDF imeshinda, je? Unaiona Gaza ya Wapalestina tena? Binafsi siwaoni kama Palestians wakiendelea kuishi pale, sioni kabisa
 
Kwanza hii vita haitakwisha kutokana na misimamo za wote pande mbili, kingine hapo wanachopigania ni ardhi sio nyumba wala huduma wanapigania identity wao hawapiganii Gaza in future wao wanaitaka Palestine, Israel wanalijua Hilo Gaza ni kajisehemu ndani ya Palestine nzima iliyoporwa .
 
Back
Top Bottom