Ndugu wa damu wa Yahya Sinwar leo naye Ameangamizwa!!

Ndugu wa damu wa Yahya Sinwar leo naye Ameangamizwa!!

Waislam wa kweli wananyooshwa na Allah pekee tunajivunia Quran. Hao unaowasifia kuua na kuwatia njaa wengine elewa kinachotaabishwa na binadamu ni mwili TU, sisi(waislam wa kweli) tunamuogopa anayeutaabisha mwili na roho Kwa muda usio na kikomo.
Kwa maana hiyo Hamas ni Waislamu wa Kweli kwa vitendo walivyovifanya Pct 07,2023?

Kama uislamu wa kweli ni kuua watu wasio na hatia na kuteka nyara watu basi hiyo dini si dini tena bali ni genge la wahuni tu.
 
Kwanza hii vita haitakwisha kutokana na misimamo za wote pande mbili, kingine hapo wanachopigania ni ardhi sio nyumba wala huduma wanapigania identity wao hawapiganii Gaza in future wao wanaitaka Palestine, Israel wanalijua Hilo Gaza ni kajisehemu ndani ya Palestine nzima iliyoporwa .
So what you mean is, wataendelea kupigana hivo hivo hadi ardhi ya "Palestine" kua chini ya Wapalestina? Wewe unaona hilo jambo linawezekana?
 
Mwanahabari wa kijeshi Doron Kadosh akiwa na maelezo ya ziada kuhusu jinsi shambulio la kumuondoa Muhammad Sinwar lilivyotekelezwa kwa njia ambayo ingegeuza mfumo wa mifereji ya maji kuwa mtego wa kifo kwa wale wanaokaa huko:

- Katika shambulio hilo, Jeshi la Wanahewa lilitumia risasi kadhaa, pamoja na mabomu ya kupenya kwenye bunker.

- Shambulio hilo lilitekelezwa kwa namna sawa na lile ambalo Hassan Nasrallah aliuawa huko Dahiyya huko Beirut: shambulio kwenye milango yote ya kuingilia na kutoka kwenye milango ya eneo la chini ya ardhi, kwa lengo la kuzuia kutoroka baada ya shambulio hilo, ikiwa Sinwar ataweza kutoroka.

- Njia ya kushambulia inachanganya kuanguka na mabomu ya kupenya, kwa lengo kwamba mtu yeyote ambaye hatakufa mwanzoni kwa matokeo ya athari na kuanguka atakufa baadaye kutokana na kukosa hewa (kama Nasrallah anaweza kufa).

- Ili kuimarisha uhakika wa kuangamizwa: Jeshi la Anga pia linashambulia sasa, baada ya shambulio hilo, mara kadhaa zaidi - kwa mtu yeyote anayekaribia na kujaribu kuokoa majeruhi kutoka kwa eneo la chini ya ardhi

Hawa watu wanauana kama kuku aisee. Sidhani kama kuna ubinadamu ndani yao.
 
So what you mean is, wataendelea kupigana hivo hivo hadi ardhi ya "Palestine" kua chini ya Wapalestina? Wewe unaona hilo jambo linawezekana?
IDF wamesema hawawataki Hamas Hata wakiachia mateka wote vita haitakoma hivyo wewe unafikiri Hamas nao watafanya nn? Vita hii naiona ikikua zaidi ya hapa
 
IDF wamesema hawawataki Hamas Hata wakiachia mateka wote vita haitakoma hivyo wewe unafikiri Hamas nao watafanya nn? Vita hii naiona
Mojawapo ya malengo ya Israel ni kuiondoa Hamas huko Gaza hivyo ni lazima Hamas wataondolewa tu
 
Kwahawa mashoga wasasa bila msaada wa shogaake marekani HATA m23 wanawakalisha, uwez shinda vita Kwa kulipia majengo wakati face to face huwez
Face to face kivipi wakati magaidi wote karibu wameangamizwa ikiwa ni pamoja na viongozi wao wakuu. Hezbollah mliokua mnawasifu siku hizi hata kurusha jiwe hawawezi
 
Hao Syria wanajichimbia kaburi tulishaonywa kabla wayahudi sio waaminifu, Leo Netanyau kasema Hata wakiachiwa mateka wote vita itaendelea, hao viumbe Mungu ndio aliwaumba anawajua vizuri kuliko sisi na ukijiunga nao duniani utakula shisha lakini mbinguni ni utakua Kuni za tanuri
Quran

2:120 - Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.
Hiv una uhakika gan hicho kitabu ni cha Mungu. Hujawah kumuona Muhammad wala huyo Allah. Umemezeshwa tu na ukaamin
 
Back
Top Bottom