Kwa maana hiyo Hamas ni Waislamu wa Kweli kwa vitendo walivyovifanya Pct 07,2023?Waislam wa kweli wananyooshwa na Allah pekee tunajivunia Quran. Hao unaowasifia kuua na kuwatia njaa wengine elewa kinachotaabishwa na binadamu ni mwili TU, sisi(waislam wa kweli) tunamuogopa anayeutaabisha mwili na roho Kwa muda usio na kikomo.
So what you mean is, wataendelea kupigana hivo hivo hadi ardhi ya "Palestine" kua chini ya Wapalestina? Wewe unaona hilo jambo linawezekana?Kwanza hii vita haitakwisha kutokana na misimamo za wote pande mbili, kingine hapo wanachopigania ni ardhi sio nyumba wala huduma wanapigania identity wao hawapiganii Gaza in future wao wanaitaka Palestine, Israel wanalijua Hilo Gaza ni kajisehemu ndani ya Palestine nzima iliyoporwa .
Hawa watu wanauana kama kuku aisee. Sidhani kama kuna ubinadamu ndani yao.Mwanahabari wa kijeshi Doron Kadosh akiwa na maelezo ya ziada kuhusu jinsi shambulio la kumuondoa Muhammad Sinwar lilivyotekelezwa kwa njia ambayo ingegeuza mfumo wa mifereji ya maji kuwa mtego wa kifo kwa wale wanaokaa huko:
- Katika shambulio hilo, Jeshi la Wanahewa lilitumia risasi kadhaa, pamoja na mabomu ya kupenya kwenye bunker.
- Shambulio hilo lilitekelezwa kwa namna sawa na lile ambalo Hassan Nasrallah aliuawa huko Dahiyya huko Beirut: shambulio kwenye milango yote ya kuingilia na kutoka kwenye milango ya eneo la chini ya ardhi, kwa lengo la kuzuia kutoroka baada ya shambulio hilo, ikiwa Sinwar ataweza kutoroka.
- Njia ya kushambulia inachanganya kuanguka na mabomu ya kupenya, kwa lengo kwamba mtu yeyote ambaye hatakufa mwanzoni kwa matokeo ya athari na kuanguka atakufa baadaye kutokana na kukosa hewa (kama Nasrallah anaweza kufa).
- Ili kuimarisha uhakika wa kuangamizwa: Jeshi la Anga pia linashambulia sasa, baada ya shambulio hilo, mara kadhaa zaidi - kwa mtu yeyote anayekaribia na kujaribu kuokoa majeruhi kutoka kwa eneo la chini ya ardhi
IDF wamesema hawawataki Hamas Hata wakiachia mateka wote vita haitakoma hivyo wewe unafikiri Hamas nao watafanya nn? Vita hii naiona ikikua zaidi ya hapaSo what you mean is, wataendelea kupigana hivo hivo hadi ardhi ya "Palestine" kua chini ya Wapalestina? Wewe unaona hilo jambo linawezekana?
Face to face kivipi wakati magaidi wote karibu wameangamizwa ikiwa ni pamoja na viongozi wao wakuu. Hezbollah mliokua mnawasifu siku hizi hata kurusha jiwe hawaweziKwahawa mashoga wasasa bila msaada wa shogaake marekani HATA m23 wanawakalisha, uwez shinda vita Kwa kulipia majengo wakati face to face huwez
Hiv una uhakika gan hicho kitabu ni cha Mungu. Hujawah kumuona Muhammad wala huyo Allah. Umemezeshwa tu na ukaaminHao Syria wanajichimbia kaburi tulishaonywa kabla wayahudi sio waaminifu, Leo Netanyau kasema Hata wakiachiwa mateka wote vita itaendelea, hao viumbe Mungu ndio aliwaumba anawajua vizuri kuliko sisi na ukijiunga nao duniani utakula shisha lakini mbinguni ni utakua Kuni za tanuri
Quran
2:120 - Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.